My hubby amekua addicted na online social networking | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My hubby amekua addicted na online social networking

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Iteitei Lya Kitee, Mar 17, 2010.

 1. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2010
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wadau,ebu nisaidieni
  Nnae huyu hubby av dated her for sometime.Alikua hana access ya internet kwa kipindi fulani lakini hivi majuzi kaanza kupata access cha kushangaza kuanzia ajiunge na mtandao mmoja wa kusocialize amekua hasikii wala haoni.
  Kila kukicha yeye anaongeza new contact,either no. ya simu ama a messenger id ama ADD AS A FRIEND!!Lol
  Halafu dharau za wazi zinaanza kujitokeza mara anitusi we mse...Mara asiwe na mood,safari zimekua nyingi siku hizi tena bila kuagwa.
  Ukienda kwake unamkosa ukimwuliza uko wapi atasema oooh niko Sigara nakula samaki ama ooh nimemeenda kwa shangazi na hiyo ndo isambeeeee mpk usiku.
  Ilifikia kipindi nikamkataza asiiendelee kuwepo kwenye hii mitandao lakini aliziba pamba akasema kamwe hawezitoka huko.Eti liwalo na liwe yeye ataendelea kuwepo.
  Juzi kanidanganya live na nikagundua lakin bado anasisitiza kua hakudanganya,
  Mie nimechoka nataka kufanya maamuzi,nlimwomba rafikie aongee nae akamwambia aachane na mimi kwani yeye anajua ni kitu gani anafanya na eti mimi siwezi muingilia kwenye mambo yake.
  NAHISI NINAIBIWA NA WATONGOZAJI WA MTANDAONI MAANA NAJUA WAPO WENGI,nifanyeje jamani?
  Mbaya ni kua message anazotumiwa siku hizi toka marafiki hawa wa mtandaoni zinaonyesha wazi kua kunakinachoendelea.
  Weekend nlitoka nae outing kufika huko mara kakutana na mtu kamkimbilia,kumwuliza huyu ni nani oooh ni rafiki yangu wa online,jamani nachoka kabisaaaaaaaaaaa
   
 2. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2010
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Nini usichoelwa hapooo!!!Chukua hamsini zako rudi mndeny dada
   
 3. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 500
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Husband au boyfriend?
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  hivi hubby maana yake ni nini?
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  Hata mimi sijui. Ngoja niikonsalti TUKI.
   
 6. bht

  bht JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  hata tuki hawana......

  mmmmh lets see.......muulize Brigita atakuwa anajua
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  bigirita....hubby maana yake ni nini?
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  Mamushka hebu edit hilo jina.

  Bigirita please do the needful! Tunashindwa kuchangia hii sredi.
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Itei jina lefu hili
  hivi wewe si kama wivu unakutawala ?pole ongea nae atakuelewa
   
 10. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Na nyie msiwe wavivu.si mkagugo?
  Lakni maana yake ni Husband!
   
 11. Soulbrother

  Soulbrother JF-Expert Member

  #11
  Mar 17, 2010
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 408
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Labda tumuulize Maria Roza, kwani hapa ilivyotumiwa.... duh
   
 12. bht

  bht JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  AAAH!! mi nimezoea Kibluray Papushka.....we si ndo ulinipeleka tusheni ya akademia...ona sasa..

  Birigita please come clear the ambiguity sijui...tunataka kuendelea kumchangia mwenzetu anusuru ndoa yake...(if at all ipo)
   
 13. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hubby

  Also found in: Legal, Acronyms, Wikipedia0.06 sec.DIV.Ov{width:550px}hub·by (h[​IMG]b[​IMG][​IMG]) n. pl. hub·bies Informal A husband.

  [Alteration of husband.]
  The American Heritage® Dictionary of the English Language, Fourth Edition copyright ©2000 by Houghton Mifflin Company. Updated in 2009. Published by Houghton Mifflin Company. All rights reserved.
  hubby [ˈhʌbɪ] n pl -bies an informal word for husband [by shortening and altering]


  Collins English Dictionary – Complete and Unabridged 6th Edition 2003. © William Collins Sons & Co. Ltd 1979, 1986 © HarperCollins Publishers 1991, 1994, 1998, 2000, 2003
  ThesaurusLegend: Synonyms Related Words Antonyms
  Noun1.[​IMG]hubby - a married man; a woman's partner in marriage husband, married man
  benedick, benedict - a newly married man (especially one who has long been a bachelor)

  cuckold - a man whose wife committed adultery

  family man - a man whose family is of major importance in his life

  house husband, househusband - a husband who keeps house while his wife earns the family income

  better half, married person, partner, spouse, mate - a person's partner in marriage

  uxoricide - a husband who murders his wife
  Based on WordNet 3.0, Farlex clipart collection. © 2003-2008 Princeton University, Farlex Inc.

  Haya mshaurini sasa accordingly.acheni sihasa.
   
 14. bht

  bht JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
   
 15. bht

  bht JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  sijaona kama they are partners in marriage, can smbody help me out here?
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Mar 17, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  asante sana my dear maana nilijaribu kuangalia nikazani mwalimu Kilua alikuwa ananidanganya enzi hizo
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  Sasa inakuwaje iteitei lya kite akamdeti husband wake for sometimes?
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Rekebisha mama kabla sijachukua RB
   
 19. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #19
  Mar 17, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Uko right.Anza sasa kumshauri kuwa anatakiwa kufunga ndoa kwanza ndio atumie neno Hubby.halafu hayo ya online friends ndio yafuatie.
   
 20. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #20
  Mar 17, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Shikamoo my hubby!
  Huyu iteitei ongea nae kichaga atakuelewa zaidi.
   
Loading...