My gorgeous little boy is here!!!

Pretty

JF-Expert Member
Mar 19, 2009
2,578
1,225
Hello wapendwa wanajf!!!
.......Hope you are all well, I'm so happy and thankful....God has blessed me with a healthy and beautiful baby boy.....I had a C section due to medical reasons, ila sasa nipo okay naendelea vizuri.

I'm so proud to be a mother.......safari ya miezi zaidi ya 9 ya kubeba kiumbe tumboni si mchezo, I salute all mothers out there.
 

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,276
2,000
hongera sana!
pole kwa kupelekwa thieta lakin ndo hivo maumivu yote kwisha.....!
HONGERA
 

Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,168
2,000
hongera dada Pretty. Mola mwingi wa utukufu awajalie wewe na mwanao afya njema. Amen
 

Shishi

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
1,244
1,195
Congrats pretty, kesho inshaallah nami nina ahadi na surgeon,kuleta kiumbe kipya duniani. Si mchezo kabisa!
 

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,510
1,195
hello wapendwa wanajf!!!
.......hope you are all well, i'm so happy and thankful....god has blessed me with a healthy and beautiful baby boy.....i had a c section due to medical reasons, ila sasa nipo okay naendelea vizuri.

I'm so proud to be a mother.......safari ya miezi zaidi ya 9 ya kubeba kiumbe tumboni si mchezo, i salute all mothers out there.

hongera mummie !
 

klorokwini

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
8,675
1,225
hongera mama. hakikisha unamnyonyesha sana mtoto kuliko baba mtoto kwa kipindi cha et listi miezi 6.
 

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,056
2,000
Hongera sana pretty, may God bless your son to be a great man and you too be blessed to see him growing up to a great man
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom