My friend Pasha

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,836
2,659
default.jpg

huyu dogo hapo juu nimeupenda sana wimbo wake wa mtoto Hidaya na huwa naujengea taswira huu wimbo kichwani kila unapopogwa. tatizo ni moja, pale anaposema mpenzi wake ana sura mbaya! Dogo, badili hicho kipande na umsifie huyo dada kwa kila kitu na watu watautumia huo wimbo kwa mengi. toa version II ya huo wimbo. Pia nimepata feeling kuwa nitakurudisha studio unitengenezee huo wimbo kwa mahitaji yangu tu siku nitakapoamua kuoa. Badala ya Hidaya utaweka jina la mpenzi wangu na vionjo vingine, kwa gharama utakayohitaji wewe. Wadau mpeni dogo hizi taarifa kama hata access huku
 
Kingi you never stop to amaze...... yaelekea mapenzi yanakushoboaa na umeyapania, kaazi kweli kweli. Umechelewa eeh? Labda ni vile umezoea kuumiza wasichana kimapenzi.
 
Kingi you never stop to amaze...... yaelekea mapenzi yanakushoboaa na umeyapania, kaazi kweli kweli. Umechelewa eeh? Labda ni vile umezoea kuumiza wasichana kimapenzi.

sio kiivyo. naupenda tu huo wimbo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom