My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

Wakuu,

Sisi hatujiwezi.

Tumwache mtu mweupe atusaidie kufikiri haya mambo mazitomazito

Tujikite kwa tunayoyaweza (kucheza ngoma, ulozi, uganga na uganguzi n.k).

Hatujawahi kufikiria kuunda toothpicks zetu wenyewe, tutayaweza haya?
 
Mimi natamani ningekuwa na ujasiri kama wako.Kuna dada aliniambia yuko positive nikaogopa hapohapo na she is confident tukapime.Amenielezea mengi kuwa inawezekana lakini nilijiuliza what is the risk worth?Why take it?Wanawake ni viumbe wa ajabu sana ndugu yangu japo ni mama zetu..Ingekuwa wewe ndio uko H.I.V + asingekubali kuwa na mahusiano na wewe tena angekutangaza.Kama unaona ni uwongo jaribu leo,mtongoze dada na umpe taarifa ya uwongo kuwa upo H.I.V+ then ulete mrejesho wa reaction yake.Kuwa makini alikuwa anashida akakupenda ili umsitiri.Yakiwa negative mpaka huko Nairobi anaweza kukubadilikia hadi ukashangaa.Dont take any risk for a woman
Jamaa ww unaonekana una Elimu ya hawa viumbe
 
Kwanini ELISA ipelekwe Nairobi wakati maabara za ndani zinaweza kufanya hiyo ELISA na PCR?
 
Unadhani wewe ndio wa kwanza humu kunitaka nijidunge hiyo damu?...nilishaelezea mara nyingi tu humu nilishawahi kufanya hivyo zaidi ya mara moja,najua hata nikifanya mbele ya macho yako utakuja na sababu nyingine tu ilimradi uendelee kupinga.Sasa unadhani nitapoteza muda kuhangaika na hilo ili kumthibitishia mtu asiyejielwa jambo hili?...

Halafu kwasababu ubongo wako ni mdogo,unashindwa kujua kwamba kunitaka mimi nijidunge damu hiyo ili nithibitishe kwamba HIV yupo maana yake unaendelea kuthibitisha jinsi ulivyo uwezo mdogo wa kufikiri....tumeambiwa kwamba HIV anaambukizwa kwa njia ya ngono,na wewe unaamini watu wengi wameambukizwa kwa njia hiyo,sasa kinachokufanya unitake mimi nijidunge damu ndio nipate maambukizi ni nini?

Kwahiyo hao wenye huyo HIV wameambukizwa kwa kujidunga damu?..yaani hata wewe hujiamini na huamini kama nikifanya ngono na mtu mwenye huyo HIV nitapata maambukizi mpaka nije kujidunga kabisa damu yenye huyo HIV...sasa kama ili upate HIV ni mpaka ujidunge damu yenye HIV,je kwanini mnasema kuna idadi kubwa sana ya waathirika?Je,hawa wote walidungwa damu yenye HIV?

Kama umeshindwa kutafakari mfano huu wa humuhumu wa aliyeandika uzi huu na mifano mingine kadhaa ya wachangiaji wa uzi huu,najua pia huwezi kuamini kile kitakachotokea kwangu....

Halafu nilishasema kwamba kuna watu wengi sana wamepmwa positive na hawatumii hizo ARVs na wameishi zaidi ya miaka 20 na hawaugui huo upuuzi...hata wewe unajua hili,kama hujui basi nakuonea huruma sana...sasa kama wapo watu wa namna hii(tena ni wengi sana) na hautaki kujiuliza kwanini na badala yake unataka litokee kwangu,basi wewe ubongo wako ni mfu kabisa.
Deception mwambie huyo jamaa wakati wewe unajidunga na yeye aanze dozi ya ARV aone mwisho wake utakuaje..
 
Kwanini ELISA ipelekwe Nairobi wakati maabara za ndani zinaweza kufanya hiyo ELISA na PCR?
Hilo ni swali la msingi sana ambalo kila mtu humu anapaswa kujiuliza.Huyu mleta mada hii kama kweli anataka kufahamu ukweli wa jambo hili anapaswa pia kujiuliza na kufuatilia kwa makini.
 
Deception mwambie huyo jamaa wakati wewe unajidunga na yeye aanze dozi ya ARV aone mwisho wake utakuaje..
Hawezi kukubali,unafikiri madaktari hawajui madhara ya ARVs?Wanajua wazi kabisa,ila wakiwa kwenye kadamnasi ya watu hawawezi kusema ukweli.

Kama kwenye kikopo cha ARVs ndani kuna leaflet inayoonesha wazi kabisa kwamba ARVs zinasababisha ukimwi na magonjwa makubwa kama ini,figo,upungufu wa damu,moyo,cancer nk...lazima madaktari watakua wanajua tu lakini hawawezi kuwaambia watu ukweli huu.
 
Hawezi kukubali,unafikiri madaktari hawajui madhara ya ARVs?Wanajua wazi kabisa,ila wakiwa kwenye kadamnasi ya watu hawawezi kusema ukweli.

Kama kwenye kikopo cha ARVs ndani kuna leaflet inayoonesha wazi kabisa kwamba ARVs zinasababisha ukimwi na magonjwa makubwa kama ini,figo,upungufu wa damu,moyo,cancer nk...lazima madaktari watakua wanajua tu lakini hawawezi kuwaambia watu ukweli huu.

Ni haki yako kujua side effects za dawa kila unapopewa dawa uliza nitegemee madhara gani kutokana na hizi dawa sidhani kama kuna daktari atakataa kukuambia
 
Ni haki yako kujua side effects za dawa kila unapopewa dawa uliza nitegemee madhara gani kutokana na hizi dawa sidhani kama kuna daktari atakataa kukuambia
Kuna side effects na diseases,ukisema ARVs zina side effects utakua hujazitendea haki,ARVs zinasababisha DISEASES kabisa,sio side effects,tena magonjwa ambayo anasingiziwa HIV ndio husababishwa na ARVs after long term use.

Hivi unadhani kuna daktari yuko tayari kukueleza ukweli kwamba ARVs zitakusababishia Cancer,au kisukari,au ugonjwa wa ini,au figo,au moyo au upungufu wa damu au ukimwi wenyewe?...unafikiri ni rahisi daktari kukwambia ukweli huu hata kama utamwuliza?

Kwahiyo kama side effects za ARVs ni cancer,kisukari,kufeli kwa ini,figo,tatizo la moyo,upungufu wa damu na ukimwi....sasa kuna haja gani ya kuogopa HIV na kukimbili kula ARVs?
 
Kuna side effects na diseases,ukisema ARVs zina side effects utakua hujazitendea haki,ARVs zinasababisha DISEASES kabisa,sio side effects,tena magonjwa ambayo anasingiziwa HIV ndio husababishwa na ARVs after long term use.
Hivi unadhani kuna daktari yuko tayari kukueleza ukweli kwamba ARVs zitakusababishia Cancer,au kisukari,au ugonjwa wa ini,au figo,au moyo au upungufu wa damu au ukimwi wenyewe?...unafikiri ni rahisi daktari kukwambia ukweli huu hata kama utamwuliza?
Kwahiyo kama side effects za ARVs ni cancer,kisukari,kufeli kwa ini,figo,tatizo la moyo,upungufu wa damu na ukimwi....sasa kuna haja gani ya kuogopa HIV na kukimbili kula ARVs?
Mkuu kiukweli hawa wasomi wetu wa kada ya afya wanapaswa kuja na majibu yanayoeleweka na mepesi kueleweka.kwa sababu kuna some incidences zinaacha maswali sana. Mimi na cases tatu naweza kushuhudia.
1.Kuna kaka Sasa my age tupo miaka 30 na kitu. Huyu bro mama alifariki akiwa ndo amezaliwa na chanzo Cha kifo kwa mjibu wa maelezo ni HIV and then baba yake naye alikuja fariki few years later kwa tatzo hilo hilo and what I remember walikuwa wakisema ni mkanda wa Jeshi. Huyu jamaa nimekua naye kwani bibi yangu ni shangazi yake siku zote Bibi alikuwa akiwaza sana wakijua any time atakata ,lakini tunavoongea jamaa Hadi Sasa anadunda yupo kwenye 33-34.
2. Mama mmoja mme wake alifariki kwa madai HIV, na alikuwa na mtoto mmoja my age Hadi Leo yupo na mzima wa afya. Baada ya muda mredu huyu mama aliolewa tena na akadhaa watoto wawili, baada ya happy alifariki kwa madai ya ugonjwa huo huo na baadae mume wake alifariki na mtoto wa pili kati ya Hawa wawili akafa na kwa madai chanzo HIV wote. Ila mtoto wa kwanza baada ya kuolewa mara ya pili Hadi Leo ni mzima na ana afya yake nzuri.yupo kwenye 20 something years nowa.
3. Kuna mama anaishi na mumu wake, alikuwa kila akipata ujauzito anapata miscarriage. Siku moja wakaenda kupima na mmewe. Huyu mama akakutwa na HIV na akaanzishiwa dawa ila mume akakutwa hana japo huyu mama amekuwa hazitumii hizi dawa mara nyingi Hadi alazimishwe na mmewe na what I see ni kama haamini Kama kweli ana HIV ni vile tu hawezi kuprove mana wenye taaluma yao wameshasema.
My question is hizi scenarios unaweza kuzieleza vipi mkuu!
 
Mimi naona kugopa HIV ni utumwa kama ulivyo utumwa mwingine tu...yaani unaogopa kitu kisichokuwepo,hufanyi mambo yako kwa amani,hata mkeo unamwogopa kwa maana unaamini anaweza kuambukizwa kisha akakuambukiza wewe...huu ni utumwa wa hali ya juu sana...tena naweza kuuita upumbavu kabisa uliopita viwango vya upumbavu wa kawaida.
Huogopi virusi vya Ukimwi?
 
Kuna magonjwa ukiumwa....then ukapima mdudu lazima majibu yaje Positive. Then unapewa yale magololi ya kizungu uanze kunywa
Sasa kama ndo hivyo, kila mtu angekuwa anapewa majibu ya POSITIVE.

Kama hivi vipimo vya Qualitative, vinatumika viwili kwa mfuatano;Why?

Its Because kimoja kiko "Very Sensitive"" na Kingine kiko ""Very Specific""

Kipimo cha Kwanza ambacho ni Sensitive kikitoa majibu ya POSITIVE....Kinachukuliwa kipimo cha pili kuConfirm.

HomeWork: Soma maneno SENSITIVITY na SPECIFICITY.

UKIMWI upo, na Unaua.
 
Sasa kama ndo hivyo, kila mtu angekuwa anapewa majibu ya POSITIVE.

Kama hivi vipimo vya Qualitative, vinatumika viwili kwa mfuatano;Why?

Its Because kimoja kiko "Very Sensitive"" na Kingine kiko ""Very Specific""

Kipimo cha Kwanza ambacho ni Sensitive kikitoa majibu ya POSITIVE....Kinachukuliwa kipimo cha pili kuConfirm.

HomeWork: Soma maneno SENSITIVITY na SPECIFICITY.

UKIMWI upo, na Unaua.
Jitahidi kudadisi hicho ulichokariri hata kama hupendi kufanya hivyo,hiyo ndio hekma itakayokufanya upate maarifa ya kweli.

Mnasema kipimo kimoja kiko very sensitive na kingine kiko very specific,na vyote vinatumika kwa pamoja,pamoja na yote hayo bado kuna case nyingi sana zenye majibu yanayopinga/yenye mikanganyiko.Umeshawahi kujiuliza hilo?

Sasa hata walitengeneza hivyo vipimo wanajua kwamba hakuna standard ya hivyo vipimo,na ndio maana sehemu mbalimbali hutumia vipimo tofauti tofauti.

Wenyewe wanasema kwamba....
"At present there is No recognised standard for establishing presence or absence of antibodies to HIV in human blood"

Je,unaelewa maana ya hayo maneno hapo juu?...simaanishi utafsiri hayo maneno,bali namaanisha falsafa ya hayo maneno.
 
mbona umeulizwa huko kuwa naomba ujitangaze hadharani tukuwekee positive HIV sample blood then tukumonite tuone kama hutadevelop hizo Symptoms...

Tatizo unawakalilisha wapuuzi wasiojua chochote kuhusu hiyo elimu yako ya kudadisi huku ukiwa nje ya mstali....simama with evidence...kuwa muwazi..jitoe uwe mtu wa kwanza kupinga hiyo kitu huku ukiruhuusu Wainduce HIV kwenye mwili wako....ukiendea kupinga huku hujatoa udhibitisho nakuona kama mtu usiyetambua nini maana ya kufanya research ili kupinga research zingine..

unapinga kitu mitandaoni.....miminingekuona wa maan kama ungekuja na proved research uliyofanya mwenyewe na sio kunakili majarada mitandaoni kisha kuja kujaza watujjinga....
Duuh haya ndio majibu ya mtaalam Wa afya aliesomeshwa kwa kodi zetu
 
Hello,

Nina mpenzi wangu who is HIV+ for years now while I am HIV-. Alipata ujauzito miezi kadhaa iliyopita, nikampeleka Agakhan Hospital ili aweze kuanza clinic ya mama na mtoto, kama kawaida ni lazima wamama wachekiwe afya zao though tulikuwa tunajua status yake, hivyo tukamwambia Nurse there is no need of doing the HIV test.

Nurse akasema ni kitu cha lazima sio hiari yetu, basi akapimwa kwa rapid test method called Determinant majibu yakaja she is HIV-. Tukamwambia hivyo vipimo vyako vitakuwa ni vibovu, nurse akasema hapana acha nifanye confirmatory test using another rapid test method known as Unigold, tukasubiri majibu yetu after fews minutes majibu yakatoka tena she is HIV-.

Utata ukaanzia hapo nikawaambia my fiancee tested HIV+ about 4 years back at Regency hospital and she has been on ARV's medication since that time and we have been checking for Viral load several times and the last viral load check we did shown still there were over 1000 viruses in her body. Sintofahamu hiyo ilituweka njia panda kwasababu hatukataka ku-risk usalama wa mtoto, tukaamua kwenda Regency kuonana na wataalamu wake ambao wamekuwa wakimtibu kwa kipindi cha miaka 4 sasa, Regency wakarudia kumpima using Unigold bado majibu yakatoka HIV- ndipo wakashauri tuchukue sample ya damu ipelekwe Nairobi ikapimwe kwa kipimo kinachoitwa ELISA bado tunasuburi majibu.

Sintofahamu niliyonayo mimi haswa how comes Viral load check still see over 1000 viruses, but our rapid antibody-antigens test shows a non-reactive results. I am not a medical doctor but I have read so many articles/documentaries about HIV/AIDS and that little knowledge I have plus Love is what gave me courage to be in relationship with someone who is HIV+ while am HIV-

Ninachojua hata kama viral load ingefika level ya kuwa undetected but so long as those antibodies are there in ur body then any rapid test will show reactive response.

MADAKTARI WETU TUNAOMBA MTUTOE KWENYE HIYO SINTOFAHAMU

Best Regards,
Mambomengimdamchache.
Mkuu wewe ndo una yale mapenzi tunaita
Unconditional love..yanii nimekupenda bure

Nasali ithibitike mko salama wote wawili

Regency itabd wawe sued ama
Mana daaah..,
 
Umechangia vizuri ila umeharibu hapo kwenye kutabiri akili ya mwanamke...
Aliyekuambia ukimtendea mema mwanamke anakulipa kwa mema nani?
Anyway ipo siku nitaeelezea ukweli kuhusu Newton’s third law of motion inavyotawala mahusiano...
In every action theres' an equal and opposite reaction
 
In every action theres' an equal and opposite reaction
Very Good sasa hapo kwenye opposite reaction ndio watu hawaelewi kabisa, kwa kila jema unalofanya tegemea baya linalofanana na ukubwa wa wema uliofanya..
Ukimsomesha mwanamke tegemea kuumizwa saana baadae, ukiendekeza zawadi za mara kwa mara kwa mwanamke basi kuachwa ndio kunakaribia, ukimgonga kwa kumjali kama mke basi jua mabaharia watamgonga ovyo ovyo na atawapenda hao keep in mind this applies to both men and women mfano mwanamke ukimkubali mwanaume haraka na kumpa papuchi haraka kwa upendo basi kinachofuata kinajulikana in summary that is NEWTON’S THIRD LAW OF MOTION inavyotawala mahusiano ushauri wangu try to be unpredictable 🤝🤝
 
Huyo ni Mungu.
Mrudishie sifa ata usiwaze meeengi.
God is in simplicity kiasi kwamba hata hatuamini.
 
Back
Top Bottom