wewe mwenyewe maelezo yako ni paradoxy tosha,halafu unashutumu wengine wanadanganyana...mpaka sasa swali rahisi sana unashindwa kulijibu...hili swali ukimwuliza Gallo au Faucci atalijibu haraka sana,lakini wewe bado unalichambua kana kwamba wewe ndio uliyemgundua huyo HIV.mmmh....unauliza factors zinazogovern viral enrty into host cell cytoplasm au..?
kiufupi ni kwamba HIV type yoyote anapoingia ndani ya damu yako huwa anasoma kwanza aina ya receptor site zilizopo kwenye CD4 cell zako....akishasoma strain nzima ndipo hutoa aina flani ya conformattion change kwenye hizo receptor za CD4 kisha kuingiza hiyo RNA yake ....
inshort time delay inategemeana na mwili wa kila mtu kuruhusu virus asome mfumo wa receptor kwanza.....hiyo inaweza ikachukua muda tofauti tofauti kwa kila mtu kulingana na aina ya receptornzako
kuna kazi naifanya kwanza ..hivyo nikimaliza nitarudi tumalize utata huo make naona watu mnadanganyana eti HIV ni parodoxy........
kuna serotype za baadhi ya virus mpaka leo hazijasomwa strain nzima kutokana na ambiguity ya wadudu hao....
yet kuhusu HIV serotype viral bado kuna ugumu kuhusu ni gene ipi kwenye viral genome inacontrol kutoa mfumo elekezi wa conformation change kwenye hizo receptor..
..
kasome kuhusu nuclear to cytoplasmic ratio after viral innoculation ndo utajua kwanini inaweza ikachukua muda mrefu au mfupi
Fanya chapchap kujibu hilo swali nikupambanishe na daktari mwenzako ili ujibu swali lingine.