My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

Jun 25, 2019
23
82
Hello,

Nina mpenzi wangu who is HIV+ for years now while I am HIV-. Alipata ujauzito miezi kadhaa iliyopita, nikampeleka Agakhan Hospital ili aweze kuanza clinic ya mama na mtoto, kama kawaida ni lazima wamama wachekiwe afya zao though tulikuwa tunajua status yake, hivyo tukamwambia Nurse there is no need of doing the HIV test.

Nurse akasema ni kitu cha lazima sio hiari yetu, basi akapimwa kwa rapid test method called Determinant majibu yakaja she is HIV-. Tukamwambia hivyo vipimo vyako vitakuwa ni vibovu, nurse akasema hapana acha nifanye confirmatory test using another rapid test method known as Unigold, tukasubiri majibu yetu after fews minutes majibu yakatoka tena she is HIV-.

Utata ukaanzia hapo nikawaambia my fiancee tested HIV+ about 4 years back at Regency hospital and she has been on ARV's medication since that time and we have been checking for Viral load several times and the last viral load check we did shown still there were over 1000 viruses in her body. Sintofahamu hiyo ilituweka njia panda kwasababu hatukataka ku-risk usalama wa mtoto, tukaamua kwenda Regency kuonana na wataalamu wake ambao wamekuwa wakimtibu kwa kipindi cha miaka 4 sasa, Regency wakarudia kumpima using Unigold bado majibu yakatoka HIV- ndipo wakashauri tuchukue sample ya damu ipelekwe Nairobi ikapimwe kwa kipimo kinachoitwa ELISA bado tunasuburi majibu.

Sintofahamu niliyonayo mimi haswa how comes Viral load check still see over 1000 viruses, but our rapid antibody-antigens test shows a non-reactive results. I am not a medical doctor but I have read so many articles/documentaries about HIV/AIDS and that little knowledge I have plus Love is what gave me courage to be in relationship with someone who is HIV+ while am HIV-

Ninachojua hata kama viral load ingefika level ya kuwa undetected but so long as those antibodies are there in ur body then any rapid test will show reactive response.

MADAKTARI WETU TUNAOMBA MTUTOE KWENYE HIYO SINTOFAHAMU

Best Regards,
Mambomengimdamchache.
 
Mimi natamani ningekuwa na ujasiri kama wako. Kuna dada aliniambia yuko positive nikaogopa hapohapo na she is confident tukapime. Amenielezea mengi kuwa inawezekana lakini nilijiuliza what is the risk worth? Why take it? Wanawake ni viumbe wa ajabu sana ndugu yangu japo ni mama zetu..

Ingekuwa wewe ndio uko H.I.V + asingekubali kuwa na mahusiano na wewe tena angekutangaza. Kama unaona ni uongo jaribu leo, mtongoze dada na umpe taarifa ya uongo kuwa upo H.I.V+ then ulete mrejesho wa reaction yake. Kuwa makini alikuwa anashida akakupenda ili umsitiri. Yakiwa negative mpaka huko Nairobi anaweza kukubadilikia hadi ukashangaa. Dont take any risk for a woman
 
Yeye anao wewe huna hiyo mimba aliipata kwa uwezo wa roho mtakatifu au ulijifunga makombora?
So long as she is on medication for years now, it's safe. Kwahiyo kiongozi napiga mbichi daily na wala sina maambukizi. Unapiga bao lako Moja la kiufundi ukienda sana Mbili. Unaweza usiamini ila huo ndio ukweli, ni vizuri pia kuendelea kijifunza vitu vipya kila siku sababu dunia hii ya science na technology vitu habadilika kila siku.
 
Kuna vitu vya kujifunza na kujaribu mzee lakini sio hiko.
(Siwanyanyapai waathirika) ila nimewahi kuona mtu mmoja hospitalin mwenye maradhi hayo aiseee ogopa sana aliteseka mno
 
Hello,

Nina mpenzi wangu who is HIV+ for years now while I am HIV-
Alipata ujauzito miezi kadhaa iliyopita, nikampeleka Agakhan hospital ili aweze kuanza clinic ya mama na mtoto, kama kawaida ni lazima wamama wachekiwe afya zao though tulikuwa tunajua status yake, hivyo tukamwambia Nurse there is no need of doing the HIV test. Nurse akasema ni kitu cha lazima sio hiari yetu, basi akapimwa kwa rapid test method called Determinant majibu yakaja she is HIV-. Tukamwambia hivyo vipimo vyako vitakuwa ni vibovu, nurse akasema hapana acha nifanye confirmatory test using another rapid test method known as Unigold, tukasubiri majibu yetu after fews minutes majibu yakatoka tena she is HIV-. Utata ukaanzia hapo nikawaambia my fiancee tested HIV+ about 4 years back at Regency hospital and she has been on ARV's medication since that time and we have been checking for Viral load several times and the last viral load check we did shown still there were over 1000 viruses in her body. Sintofahamu hiyo ilituweka njia panda kwasababu hatukataka ku-risk usalama wa mtoto, tukaamua kwenda Regency kuonana na wataalamu wake ambao wamekuwa wakimtibu kwa kipindi cha miaka 4 sasa, Regency wakarudia kumpima using Unigold bado majibu yakatoka HIV- ndipo wakashauri tuchukue sample ya damu ipelekwe Nairobi ikapimwe kwa kipimo kinachoitwa ELISA bado tunasuburi majibu.

Sintofahamu niliyonayo mimi haswa how comes Viral load check still see over 1000 viruses, but our rapid antibody-antigens test shows a non-reactive results. I am not a medical doctor but I have read so many articles/documentaries about HIV/AIDS and that little knowledge I have plus Love is what gave me courage to be in relationship with someone who is HIV+ while am HIV-

Ninachojua hata kama viral load ingefika level ya kuwa undetected but so long as those antibodies are there in ur body then any rapid test will show reactive response.

MADAKTARI WETU TUNAOMBA MTUTOE KWENYE HIYO SINTOFAHAMU

Best Regards,
Mambomengimdamchache.
Ha ha ha haaaaaaaaaaaa!....wanaonifahamu wanaelewa kwanini nacheka.

There is No way to test for HIV, kwasababu hakuna HIV duniani...kinachopimwa kwenye damu si HIV bali ni kitu kingine kabisa.

Tumepigwa changa la macho zaidi ya miaka 30 sasa.

HIV/AIDS is a MINDSET DISEASE.
 
Umeeongea vingereza viingi bila sababu tunajua umesoma lakin kama kunaumuhimu nichek in box
 
Ha ha ha haaaaaaaaaaaa!....wanaonifahamu wanaelewa kwanini nacheka.

There is No way to test for HIV,kwasababu hakuna HIV duniani...kinachopimwa kwenye damu si HIV bali ni kitu kingine kabisa.

Tumepigwa changa la macho zaidi ya miaka 30 sasa.

HIV/AIDS is a MINDSET DISEASE.
Sijakupata vizuri mkuu naomba ufafanuzi zaidi, japo hata mimi nilimuuliza Daktari hakuna namna nyingine tunaweza kupima presence ya HIV mbali na hizi antibodies test, nakumbuka alinijibu ipo njia inaitwa PCR inatumiwa zaidi kwa watoto wachanga kucheck kama kachanga hako hakajapewa maabukizi na mama yake. Kwa maelezo yake alituambia yenyewe inacheck RNA/DNA ya virus moja kwa moja, Tunasubiri majibu hayo ya ELISA japo sikufurahishwa pia na hicho kipimo sababu nacho kina-rely on antibodies reaction.

JF Doctors mliobobea kwenye hili janga la HIV/AIDS karibuni mtupe elimu, We are confused!!
 
Back
Top Bottom