Mmh, wewe Kapinga. Hako kanyoka kadogo muno. Sisi kule usukumani tunachezaga na yale makubwa kabisa kabisa gete nkoi, tena kipindi cha bulabo hapo hunielezi. Niko mpeku na masempele yangu ya ngoma, nimepaka mafuta ya samli, linyoka nalishika kiunoni huku nacheza na jembe. Hako kanyoka tunaachiaga watoto wadogo wanaojifunza kutambaa kukachezea.
Karibu bulabo pale bujora uone mavitu yetu mwanawane.