maroon7 JF-Expert Member Nov 3, 2010 11,144 15,144 Dec 19, 2013 #1 So who is your favorite singer nitupie humu picha yake......au tupiamo bas..
F farkhina Platinum Member Mar 14, 2012 14,568 16,906 Dec 19, 2013 #2 Patrickn said: So who is your favorite singer nitupie humu picha yake......au tupiamo bas.. Click to expand... Akon namkubali sana.... Kuna wimbo wa kihindi ameimba huwezi amini kama ni yeye....
Patrickn said: So who is your favorite singer nitupie humu picha yake......au tupiamo bas.. Click to expand... Akon namkubali sana.... Kuna wimbo wa kihindi ameimba huwezi amini kama ni yeye....
F farkhina Platinum Member Mar 14, 2012 14,568 16,906 Dec 19, 2013 #3 My favorite huyu apa.... Attachments 1387446161814.jpg 61.1 KB · Views: 128 1387446174098.jpg 15.6 KB · Views: 118
strong ruler JF-Expert Member Nov 2, 2013 4,921 3,300 Dec 19, 2013 #4 Nash MC Attachments 1387464114881.jpg 19.5 KB · Views: 112
maroon7 JF-Expert Member Nov 3, 2010 11,144 15,144 Dec 20, 2013 Thread starter #5 farkhina said: Akon namkubali sana.... Kuna wimbo wa kihindi ameimba huwezi amini kama ni yeye.... Click to expand... Jamaa anafit kila sehemu
farkhina said: Akon namkubali sana.... Kuna wimbo wa kihindi ameimba huwezi amini kama ni yeye.... Click to expand... Jamaa anafit kila sehemu
CharmingLady JF-Expert Member Apr 16, 2012 18,250 12,868 Dec 20, 2013 #6 Patrickn said: So who is your favorite singer nitupie humu picha yake......au tupiamo bas.. Click to expand... Dah... Namkubali sana huyu jamaa, naweza sema nam........ ... Ngoja nisimalize naweza pewa talaka aisee!
Patrickn said: So who is your favorite singer nitupie humu picha yake......au tupiamo bas.. Click to expand... Dah... Namkubali sana huyu jamaa, naweza sema nam........ ... Ngoja nisimalize naweza pewa talaka aisee!
TECHMAN JF-Expert Member May 20, 2011 2,651 1,125 Dec 20, 2013 #7 View attachment 127817 Shemejiiiiii.
Kennedy JF-Expert Member Dec 28, 2011 49,015 54,296 Dec 20, 2013 #8 Duh Komba ametokelezea hapo Mgeenii huyu balaa x 2
Gwangambo JF-Expert Member Jun 30, 2012 3,638 1,207 Dec 20, 2013 #9 TECHMAN said: View attachment 127817 Huyu nani tena? kama vile namfahamu? sura inakuja kwa mbali alafu inapotea. Click to expand...
TECHMAN said: View attachment 127817 Huyu nani tena? kama vile namfahamu? sura inakuja kwa mbali alafu inapotea. Click to expand...
TECHMAN JF-Expert Member May 20, 2011 2,651 1,125 Dec 20, 2013 #10 Gwangambo said: TECHMAN said: View attachment 127817 Huyu nani tena? kama vile namfahamu? sura inakuja kwa mbali alafu inapotea. Click to expand... huyo ni kapteni mstaafu. J.K Click to expand...
Gwangambo said: TECHMAN said: View attachment 127817 Huyu nani tena? kama vile namfahamu? sura inakuja kwa mbali alafu inapotea. Click to expand... huyo ni kapteni mstaafu. J.K Click to expand...
maroon7 JF-Expert Member Nov 3, 2010 11,144 15,144 Dec 20, 2013 Thread starter #11 charminglady said: Dah... Namkubali sana huyu jamaa, naweza sema nam........ ... Ngoja nisimalize naweza pewa talaka aisee! Click to expand... Hahahaaa...kweli bhana ishia hapo tu
charminglady said: Dah... Namkubali sana huyu jamaa, naweza sema nam........ ... Ngoja nisimalize naweza pewa talaka aisee! Click to expand... Hahahaaa...kweli bhana ishia hapo tu
Pancras Suday JF-Expert Member Jun 24, 2011 8,143 3,830 Dec 20, 2013 #13 Huwa haipiti siku bila kusikiliza nyimbo yake hata moja
Tyta JF-Expert Member May 21, 2011 12,767 10,526 Dec 20, 2013 #14 chop my money remix na beautiful -amefunika sana humo