Nzokanhyilu,
Yes, I'm 4 real...here is another one for you.

12."Kina mama pia endeleeni kuzaa wasichana wazuri kwani katika miaka hii miwili hata kwenye mashindano ya urembo duniani tumetamba." -- Jakaya Kikwete, July 27,2007
Mkwere ni noma
 
Friday Quotes
IMG_20181130_203235_361.jpeg
 
Mwalimu Nyerere;
  • "Ni bora kuishi na fikra hai kuliko kuishi na fikra zilizokufa"
  • "Unaweza kuwadanganya watu wote kwa muda fulani na baadhi ya watu wakati wote ila huwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote"
Nelson Mandela;
  • "Elimu ni silaha yenye nguvu yenye uwezo wa kuibadilisha dunia."
  • "Kichwa kizuri na moyo mzuri huwa na ushirika".
  • "Kama unataka kutengeneza amani na adui yako, tengeneza nae urafiki kisha atakuwa rafiki yako".
  • "Inatupasa tutumie muda vizuri na siku zote tukumbuke ya kwamba muda huenda sahihi"

Abrahamu Lincoln (Rais wa 16 wa nchi ya Marekani): "Serikali ya watu, inayowatumikia watu na iliyowekwa na watu haitapotea duniani".

Thomas Jefferson: "Uaminifu ni ukurasa wa kwanza wa kitabu cha hekima".

Lucille Ball: "Huwa najutia mambo niliyoyatenda kuliko yale ambayo sikuyatenda"

Confucius: "Ukimia ni chanzo kikubwa cha nguvu"

Lao Tzu: "Kuwajua wengine ni hekima, kujijua mwenyewe ni maarifa makubwa"

Benjamini Franklin: "Uaminifu ni sera nzuri"

Abrahan Maslow: "Ukiwa na nyundo unaona kila tatizo kama msumari"

Publilius Syrus: "Kutokana na makosa ya wengine mwenye hekima hujisahihisha"

Aritotle: "Matumaini ni matumaini yanayotembea"

Plato: "Maamuzi mazuri huegemea maarifa na sio umri"

John F. Kennedy: "Samehe adui zako lakini usisahau majina yao" | "Ushindi una baba wengi ila kushindwa ni yatima"
----------

NB: Nawe ongezea ya kwako


Ukipenda akili inaacha kufanya kaz mpk utakapoacha au kufa
 
AbdulJumbe! - Alipotaka serikali tatu. Nyerere alimuuliza moja kujumlisha moja ningapi..? Jumbe akajibu ni mbili. Nyerere akamwambia kama ni mbili mbona unatakaserikali tatu..? Huo ndio ukawa mwisho wa Abdul Jumbe kuwa Rais wa Zanzibar.
Aisee nimecheka sana....duh kuna watu bongo zao hazijatulia...
 
Samweli Sitta - Alipokuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi UDSM aliongozamgomo wa wanafunzi wenzake kudai siagi na maziwa. Mwalimu aliibuka pale chuoniakamuuliza Samweli, Samweli kwenu mnakunywa maziwa kweli..? Akamwambia lala chini, akamcharaza bakora na mgomoukaishia hapo hapo.
Aisee nimecheka sana...
 
Back
Top Bottom