EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,091
Nimekuwa nawaza sana what kinda woman if I have her then wengine watalazimika kutumia nguvu kubwa sana kunifanya nichepuke.
Nadhani nimeweza kumjua na kama ningekuwa najua kuchora kama zamani basi ningemchora ili nimesahau kuchora siku hizi.
Ila hivi ndivyo ningependa muonekano wake uwe; Awe na urefu wa kati ya 5.5 - 5.6 ft hii itamruhusu hata akivaa high heels then tunaendana, awe na light skin (sio mweupe), asiwe mnene wala mwembamba (ukinenepa na manyamanyama nakuacha), awe na kijungu cha kiafrika (this is very important) asiwe mpiga mizinga ya kijingajinga (Najua jukumu langu la kumhudumia tatizo ni mizinga ndio sitaki ile ya kijingajinga) so kama nitampata wa hivi then sitachepuka. Ah nilikuwa nimesahau sifa nyingine kubwa, awe na sura yenye mvuto kuliko mimi sio tukikatika vichwa na mi nimenyoa ndevu basi watu wadhani mi ndio mwanamke.
Basi ndio hivyo..