My dream pc (uzi maalum wa kupost computer specs ya ndoto zako) yangu nadhan itakua top 100 kwa perfomance duniani

Jury

JF-Expert Member
Feb 6, 2018
202
250
Kwa wale die hard tech fans lazima mtakua na ndoto za kumiliki computer ya aina flan na specs flani,either unapambana kutimiza ndoto yako kama mimi au umetulia unatamani unasubir miujiza itokee. Ni sawa tu twende pamoja tutiririke kushusha our dream specs.

Naanza na yangu
Being inspired by overclocker uk kwa kazi nzuri wanayofanya. Hii mashine inauwezo wa kufanya virtual any task kwa sasa upande wa desktops,unaweza kuiset kwa ajili ya rendering au gaming kupitia mpangilio wa GPU.

Inacheza virtually any pc game iliyopo kwa sasa
Ina intel core i9 core 18
motherboard ni mnyama asus rampage vi extreme
ram ni gb 128
Storage primary ni 2 TB 970 evo ssd
Storage secondary ni 2TB 970 evo ssd
Storage tertiary ni 14 TB seagate
Gpu ni mnyama nvidia titan rtx zenye 24 Gb x2
Psu watt 2000 kuwezesha juuce ya kitosha
Cooler ni custom ziitumia liquid coolant ambapo zinapoza cpu pamoja na gpu
Case ya aina yake
Monitor primary ni samsung 49" curved na secondary ni asus rog x3
Hayo ni kwa uchache hii mashine ni kwa ajili ya gaming na graphics intensive tasks

Inaitwa-Jury Ultimate
TOTAL bei yake kuibuild : $16,310

Cpu
Intel Core i9-9980XE Extreme Edition Processor 18 Cores up to 4.4GHz Turbo Unlocked LGA2066 X299 Series 165W Processors (999AD1) $ $1,889
IMG_20200219_175707.jpg

Motherboard
ASUS Republic of Gamers Rampage VI Extreme LGA 2066 Extended ATX Motherboard DDR4 $ $956
IMG_20200219_175823.jpg

Gpux2
NVIDIA Titan RTX Graphics Card $ $2,499
IMG_20200219_175840.jpg

NVIDIA Titan RTX Graphics Card $ $2,499
IMG_20200219_175840.jpg

Ram
Corsair CMW128GX4M8C3200C16 Vengeance RGB PRO 128GB (8x16GB) DDR4 3200 (PC4-25600) C16 Desktop Memory Black $ $788
IMG_20200219_175902.jpg

Storage
Samsung 970 EVO SSD 1TB - M.2 NVMe Interface Internal Solid State Drive with V-NAND Technology (MZ-V7E1T0BW), Black/Red $ $168
IMG_20200219_175730.jpg

Seagate IronWolf Pro 14TB NAS RAID Internal Hard Drive - 7,200 RPM SATA 6Gb/s 3.5-inch (ST14000NE0008) $ $439
IMG_20200219_175744.jpg

Psu
Supermicro PWS-2K01A-BR 2000W 80+ Titanium Power Supply Module w/PFC $ $394
IMG_20200219_175928.jpg

Case
Cooler Master Cosmos C700M with ARGB Lighting, Aluminum Panels, a Riser Cable, and Curved Tempered Glass, C700M Full Tower $ $421
IMG_20200219_175949.jpg

Monitor stand desk
DS100 Quad-Monitor Desk Stand $ $328
IMG_20200219_180002.jpg

Racing & flight cockpit
Volair Sim Universal Flight or Racing Simulation Cockpit Chassis with Triple Monitor Mounts $ $795
IMG_20200219_180013.jpg

Thermal paste
Thermal Grizzly Hydronaut Thermal Paste 1.5 ml $ $13
IMG_20200219_180023.jpg

Mouse pad
6 Mouse Pad Bundle Stitched Edges Premium Waterproof Gaming Mouse Mat Pad, Extends Battery Life Non-Slip Rubber Base Thick Black Mousepad for Laptop Computer & PC, 11 x 8.7 inch, Black Razer-Pack of 6 $ $15
IMG_20200219_180034.jpg

Monitor
ASUS ROG PG279Q 27" Gaming Monitor, 1440P WQHD (2560 x 1440), IPS, 165Hz, G-SYNC, EyeCare, DisplayPort Adjustable Ergonomic (Above 144Hz) $ $623
IMG_20200219_180047.jpg

Cooling system
EKWB EK-KIT Performance Series PC Watercooling Kit P360 $ $401

EKWB EK-KIT Performance Series PC Watercooling Kit P360 $ $401

Mouse pad
Razer Gigantus Gaming Mouse Pad: Ultra Large Size - Optimized Gaming Surface - 5 mm Thick Rubberized Base $ $29

Monitor
Samsung 49-Inch CHG90 144Hz Curved Gaming Monitor (LC49HG90DMNXZA) – Super Ultrawide Screen QLED Computer Monitor, 3840 x 1080p Resolution, 1ms Response, FreeSync 2 with HDR $ $899

Mouse pad
Razer Invicta Gaming Mouse Pad: Aircraft-Grade Aluminum Base - Included Double-Sided Mat Surface for Personalization - Anti-Slip Rubber Base - Mercury White $ $52

Heat sink
EKWB EK-M.2 NVMe Heatsink, Black $ $21

Primary Keyboard&mouse
Logitech MX900 Performance Premium Backlit Keyboard and MX Master Mouse Combo $ $160

Mouse pad
Razer Goliathus Extended Chroma Gaming Mousepad: Customizable Chroma RGB Lighting - Soft, Cloth Material - Balanced Control & Speed - Non-Slip Rubber Base - Classic Black $ $59

Secondary mouse
Logitech G Pro Wireless Gaming Mouse with Esports grade performance $ $149

Cooler
ASUS 90RC0020-M0UAY0 ROG Ryujin 360 All-in-One Liquid CPU Cooler - Black $ $344

Secondary keyboard
Logitech G915 Wireless Mechanical Gaming Keyboard (Linear) $ $218
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,154
2,000
Nikiangalia accessory kama ni gaming pc ila choice ya cpu sio ya gaming kivile. I9 9900k inakupa uwezo zaidi kwenye gaming kuliko cpu yoyote kwa sasa.

Sababu ina single thread perfomance kubwa na multithread pia ipo poa kwa miaka kadhaa.
 
Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
12,969
2,000
siku moja nitamiliki hiyo mashine, sio leo wala kesho

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jury

JF-Expert Member
Feb 6, 2018
202
250
Nikiangalia accessory kama ni gaming pc ila choice ya cpu sio ya gaming kivile. I9 9900k inakupa uwezo zaidi kwenye gaming kuliko cpu yoyote kwa sasa.

Sababu ina single thread perfomance kubwa na multithread pia ipo poa kwa miaka kadhaa.
Ni kweli 9900k iko njema kwa gaming overall hata price yake nafuu nafikiria kutumia iyo bado naresearch kidogo maana japo gaming itakua heavy pia ni kwa ajili ya multi threading tasks kama rendering,compiling na simulation
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,154
2,000
Ni kweli 9900k iko njema kwa gaming overall hata price yake nafuu nafikiria kutumia iyo bado naresearch kidogo maana japo gaming itakua heavy pia ni kwa ajili ya multi threading tasks kama rendering,compiling na simulation
Kwa multithread ryzen 3950x nzuri zaidi kuliko Intel offering, na bei zake zipo chini kidogo. Boost frequency pia sio mbaya 4.7ghz.
 
Guilherme

Senior Member
Feb 20, 2020
100
225
Dah me najichanga atleast nipate gaming laptop yenye gtx 1060 ili nienjoy some games
 
lulz_Sec

Member
Jan 11, 2020
26
45
Ankoo..
naomba nifahamishe apo kidogo..
unapozungumzia multi threading tasks ndio kisema nn?

Ni kweli mkuu,nafikiria win-win situation lakini nasacrifise perfomance kidogo upande wa multi threading lakini sio gaming ryzen 3950x imeegemea sana upande wa multi thread pia nikiangalia 9900k hana mpinzani upande wa gaming.
So naona option bora itakua 9900k lakini sijui mobo ipi itafaa zaidi
 
Jury

JF-Expert Member
Feb 6, 2018
202
250
Dah me najichanga atleast nipate gaming laptop yenye gtx 1060 ili nienjoy some games
Mkuu ifikirie pia pc(desktop) badala ya laptop sababu ya uwezo wa desktop kusupport heavy gaming na wigo mpana wa upgrades
 
Jury

JF-Expert Member
Feb 6, 2018
202
250
Ankoo..
naomba nifahamishe apo kidogo..
unapozungumzia multi threading tasks ndio kisema nn?
Multi threading ni uwezo wa kuprocess multiple threads kwa wakati mmoja kupelekea kukamilisha tasks kwa haraka zaidi
Chukulia mfano wa barabara yenye njia moja inaruhusu gari moja moja kupita kwa kufuatana na spidi ile ile ikitokea gari limekwama yote ya nyuma inabidi yasubiri mpaka litakapotoka
Lakini barabara ya njia nne inaruhusu magari kupita kwa wakati mmoja na kwa spidi tofauti ikitokea gari limekwama kwenye njia mojawapo mengine yataendelea kama kawaida
Hii ndo maana ya multiple threading
 
Guilherme

Senior Member
Feb 20, 2020
100
225
Mkuu ifikirie pia pc(desktop) badala ya laptop sababu ya uwezo wa desktop kusupport heavy gaming na wigo mpana wa upgrades
yah umenena vyema uzuri wa desktop ndo huo waweza kuapgrade ngoj nifanye hivyo
 
iam_cipher

Senior Member
Feb 21, 2020
123
225
Eti hivi iyo compiling inakuaje?
Ni kama inavokua kwenye c++ au ipo tofaut?

Top Bottom