My Dilemma; A Lawyer turned Politician: The use of 5 senses! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My Dilemma; A Lawyer turned Politician: The use of 5 senses!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MsandoAlberto, Mar 3, 2011.

 1. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Brethrens,

  Today is another day when I felt the test of what it takes to be a Lawyer and a Politician.

  My dilemma came at a point when I least expected.

  Who do I blame? Which side do I take? What role do I play?

  I have witnessed a bill by a Lawyer for 25 Million Tshs to defend a case on behalf of a District Council. The latter has agreed to pay the former. Its a case filed at the Resident Magistrate (Mahakama ya Hakimu Mkazi)!!

  As a lawyer one would expect me to be okay, as a politician one would expect me to say no! But, here the problem goes deeper. It is our current and serious problem as a country. Selfish and greedy. We are too selfish. We care less about the poor Tanzanians. Its all about us and our always wide mouths and stomachs!

  I have witnessed both. And now my 5 senses are all working. I can see, feel, smell, touch and hear wizi, ubadhirifu, unyonyaji, ujambazi, ufisadi, dhuluma nk.day in, day out!

  Hii nchi inaliwa! Dah!
   
 2. MIAMIA.

  MIAMIA. JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mhmhmh!!!
  nimekupata ova...nimekupata ova...nimekupata ova...
  aaaaaaagh!!! bt thru that doc currently there are 6 senses in me...third eye as sixth sense apart from nomo 5th senses.
  mkuu...if u wont mind can u revl the NAMESSSSSSSS PLASSSSSS???i beg you jaman ata ni PM.bt ukimwaga jamvini wooooote wakafaidi ingekua poazi yani.esp.ya io chemba(law fem) na uyo ndugu politician...plsssssss,
   
 3. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Ni kweli nchi inatafunwa; kinachosikitisha zaidi ni kwamba wale wanaoitafuna ndio wako mstari wa mbele kulalamika!
   
 4. Kibunago

  Kibunago JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 288
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana watu tunaposhindwa kufanya kazi zetu kwa kufuata maadili ya nafasi au kazi tulizonazo.

  Hakuna kazi yeyote hata ya Siasa inayo encourage ubadhilifu. Tena kwa wenzetu, Mwanasiasa anajiadhibu mwenyewe kwa hasira zaidi pindi akikosea maana ni Kiongozi wa umma na madhara yake ni makubwa kwa jamii ukiachila mbali ule uoga tu wa kuacha mfano mbaya unaoweza kuingwa na wengine (wanaoongozwa)!

  We angalia mtu anashindwa kutoa credit kwa alichonakiri katika kazi ya shule, basi badala ya kufelishwa au kurudia hiyo PhD yake, yeye mwenyewe ana jiuzuru Uwaziri haraka sana anasema ni kwa sababu anaona ameshindwa kufikia kiwango cha maisha ya uadilifu alichojiwekea!


  Ingekuwa kwetu, labda hata hao Maprofesa Wasimamizi wake ndio wangeandamwa!! Huu ni uozo wetu sisi; mimi na wewe unayesoma hapa!!
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  sijaelewa tatizo ni nini hapa? kwamba kuna mwanasheria kalipwa milioni 25 au kwamba hiyo milioni 25 inatoka kwenye District council? au ni nini hasa?
   
 6. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Ni kweli bila details zaidi sio rahisi kuelewa tatizo hapa.

  kwa mfano iwapo halmashauri ililipwa sh milion 500 kutokana na utetezi huo, na labda mkataba wao ulikuwa mwanasheria alipwe asilimia 5 ya watakachoshinda, hakuna cha ajabu. Kwa upande mwingine yawezekana pia kukawa na malipo yasiyo sahihi. Ndio maana detail zaidi ni muhimu.
   
 7. MIAMIA.

  MIAMIA. JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  msando msando???where are u....elezea mwanakijiji taarifa io vema zaidi,lakini on behalf naeza kidogo elezea kile niancho isi masando was tryng ku-xprec what feels n pain...msandoalbert can u go on.....or can I???
   
 8. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  No matter what side of an argument you're,you always find some people on your side that u wish were on the other side!
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,569
  Likes Received: 18,537
  Trophy Points: 280
  MsandoAlberto, wewe ni mwanasheria, wakili, diwani na mwanasiasa, kama mwanasheria, unaelewa wazi hiyo milioni 25 is not a big deal kwa mwanasheria, inategemea imekubaliana nini. Usitake kupiga kelele kuwaaminisha watu kuwa Halmashauri yako inaibiwa!. Hivi kama ungeajiriwa Mkono and Co. Advocates na kupewa kusimamia ile kesi ya Valambia ungesema nini?. Makubaliano ya awali kati ya BOT na Mkono yalikuwa US. 5,000 per hour!, sasa hiyo milioni 25 ni nini?. its a peanut!.

  Naomba nikusaidie angalizo tuu, usijisahau na kuleta humu 'priviladged info' ukadhani eti ndio unataka kusaidia kuokoa pesa!. Utakwenda na maji siku si zako!.

  Muulize mwanasheria mwenzako Prof. Mwakiembe, akiwa boad chairman wa NMB, akaona mambo hakubaliani nayo, akaya leak kwenye gazeti la Uhuru ambako nako yeye ndie alikuwa Mwenyekiti wa bodi. Kilichofuatia, aling'olewa with immediate effect, alikosa yote na kuishia kufunga mdomo kabla Sitta hajamuokoa ile 'mission accomplish' ya Tume ya Mwakiembe.

  Uwepo wako ndani ya Halmashauri, usikupe kichwa cha kujiona 'much know'kutokana na access ya inside information!. Unachotakiwa kufanya kabla hujamwaga humu upupu, jiridhishe kama taratibu zimekiukwa ndipo uje na kitu kamili, tutakuheshimu sana kwa hilo, na sio hii ya kuona tuu invoice ya lawyer mwenzako anavuta 25.m kiulaini, wewe unamaind bila kuweka facts hadharani, itakuja kuishia kugeuka conflicft of interest, kwa nini yeye na sio wewe.

  Nawasilisha.
  Pasco.
  Pretoria.
   
 10. c

  carefree JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kama ni halmashauri yako mheshimiwa diwani si mlipitisha kwenye kamati na full council au haukushirikishwa?
   
 11. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwanakijiji iko hivi,

  Halmashauri ya Wilaya kupitia Kamati ya fedha imepitisha shilingi milioni 25 kumlipa wakili wa kujitegemea ili amtetee Mkurugenzi wa Halmashauri ambaye ameshtakiwa kwenye kesi ya uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri.

  Kesi husika ni kutaka tafsiri ya mahakama ya ni sheria gani itumike na taratibu zipi zifuatwe kumchagua mwenyekiti wa halmashauri. Mkurugenzi alitunga sheria zake kwenye uchaguzi huo.

  Badala ya kuruhusu tafsiri itolewe Kamati ya fedha imeridhia fedha hizo zilipwe kupinga tafsiri hiyo kutolewa.

  Kuna wanasheria wa serikali tunao lakini badala ya kuwatumia hao ambao ni waajiriwa na wanalipwa mishahara Halmashauri inatafuta wakili wa kujitegemea anayedai milioni 25 kama malipo ya uwakili!!!

  Nini sababu ya kuwa na mawakili wa serikali? Je hawana uwezo? Au hawaaminiki? Hizo fedha zote si za wananchi?

  Ni hayo kwa sasa Mwanakiji na wote.
   
 12. M

  MushyNoel Senior Member

  #12
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Msando is right , ana haki ya kutueleza kile ambacho anaona sio sahihi . Na kwa sababu ni mwanasheria anaweza kuwa na uelewa wa uzito wa kesi flani kama inalingana na tozo iliyotolewa . Halmashauri zetu hizi hazina ubunifu wowote huko ndani watu wanakula kwa kwenda mbele na michezo michafu kama hiyo ambayo tunaelezwa imejaa kibao .
   
 13. c

  carefree JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Bull shit another ufisadi huwezi kumlipa mtu kwa kazi ya sheria halafu uende ukakodishe mtu mwingine kwa kazi hiyo halafu kwa fedha nyingi kiasi hicho huku watoto wanakosa vifaa mashuleni ,lunch zahanati hakuna wala vifaa nooooo a big nooooo wewe ni diwani hiyo fedha imetolewa kwenye fungu gani?
   
 14. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Duh!pole kwa maumivu ya uzalendo wako,hiyo ndiyo kawaida ktk halmashauri zote nchini,hasa zenye chama tawala CCM.the system is broken down bro :(
  Didnt you know halmashauri ndiyo Avenue ya kutokea pesa za walaji wakati ,tukiondoa akina dowans and kagoda-BOT.angalia kandarasi za barabara,hapo ndio utatamani kulia
   
 15. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pasco,

  Kwanza nashukuru kwa mawazo na angalizo.

  Pili, kwenye post yangu sijataja wala kusema ni Halmashauri yangu au ni wakili gani.

  Tatu, malipo ya shilingi mil. 25 sio priviledge information.

  Nne, malipo ya sh milioni 25 sio peanuts kwa halmashauri za nchi hii zinazotegemea kodi za masoko na stendi za mabasi.

  Tano, kesi husika sio ya madai. Ni kesi ya uchaguzi ambayo inaweza ikafanywa vizuri na mwanasheria wa serikali. Hata halmashauri ikishindwa hiyo kesi hakuna hasara ya mil 25 itakayotokea.

  Sita, taratibu za kupata watoa huduma kwa halmashauri ni kwa njia ya tenda au kuitisha bei kutoka kwa watoa huduma kama ni jambo la dharura. Yote hayo hayajafanyika.

  Saba, kilichotokea kwa Mwakyembe hakitufundishi woga bali kinatufundisha kuwa imara zaidi.

  Nane, sio kwamba naona wivu lawyer kulipwa milioni 25. Ni kazi yake na yangu. Lakini naona uchungu halmashauri kulipa mil 25 kutokana na umasikini wetu. Thats the dilemma am talking about.

  My dilemma is, being a lawyer I would have been happy to make such an amount for a simple case but being a politician I am unhappy paying that amount for a simple case. Isnt that a dilemma?

  Tisa, nisamehe sana kuweka mawazo yangu hadharani ambayo kwako ni upupu. Uwezo wangu wa kufikiri uliishia hapo. Samahani sana kamanda.
   
 16. l

  limited JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  i believe 80% of the politicians in tanzania now are oppportunist, ask your self guys a prominent businesman spending almost 100,000 usd and above to get parliment seat. kwa hiyo imekuwa biashara kama biashara nyingine hakuna tena kwenda bungeni kutetea maslahi ya wanachi bali kutetea yanayokuusu.
   
 17. o

  ol'kitkit Member

  #17
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nimeshashuhudia Halmashauri moja baada ya kushindwa kesi (ushahidi wa kutosha ulikuwa dhidi ya Halmashauri hiyo na hata angekuja nani Halmashauri ingepigwa chini tu), Madiwani hawakuwa tayari kuwashirikisha Mawakili wa Serikali kwa sababu wanazozijua wao...walipotaka kumtumia wakili wa kujitegemea gharama zake hazipishani sana na hizo anazozitaja Bw. Msando...la msingi kujiuliza ni kwanini inakuwa hivyo, hatuwaamini au kwa sababu tu tuna mamlaka ya kuamua tuwatumie mawakili wa kujitegemea. Na mara zote Serikali inashindwa kesi zake si kwa sababu Mawakili wa Serikali hawana uwezo (japo inawezekana) bali yapo maamuzi ambayo yanatolewa na viongozi bila kupata ushauri wa suala husika na matokeo yake yatakuaje (kwa maana ya legal implications).

  Ni changamoto kwa Madiwani kutafakari kwa makini kabla ya kutoa maamuzi, fedha hizo ni nyingi kuliko maelezo, na je Halmashauri hiyo haina Mwanasheria wake au haaminiki??
   
 18. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Msando ni vizuri unayaona hayo na kwa nafasi yako ya kisiasa inakupa picha halisi ya namna nchi yako inavyotafunwa.
  Hakuna priorities katika kila kitu, kila mtu anataka kula na hakuna akumbukaye kuna kesho.
  Mie nafurahi unapokutana na madudu kama haya maana yana amsha uzalendo ndani yako na ndani yetu pia.

  Kuhusu taasisi za umma kutumia law firms binafsi inatokana na madai yafuatayo:
  1. Kuna ulaji kwa baadhi ya watendaji pindi ukitoa kazi (siku hizi 20% sio 10% tena)
  2. Inaaminika kwamba some law firms zinajua makorido ya mahakama vizuri zaidi ya wanasheria wa serikali. Baadhi ya Mahakimu nao si wana bei sasa wakili wa serikali atapata wapi za kumlipa?
  3. Kwamba wengi wa wanasheria wa serikali wana bei, hupoteza kesi kirahisi lakini wao wakiwa wame-win kimasilahi.

  Hayo ndio tulionayo huku mtaani!
   
 19. domo bwakubwaku

  domo bwakubwaku Member

  #19
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hapa kuna tatizo la kimfumo zaidi states attorney wanalipwa kiduchu na hii imewafnya kuvunjika moyo na kazi hivyo huwa hawjisumbui na kutetea serkali la pil unadhani hiyo 25m ni kweli anapewa yote wakil wa kujitegemea? Thubutu tayari hapo wana gawio lao usishangae kukuta wakili kalipwa 5m tu na nyingine chai ya wakubwa
   
Loading...