Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 6,995
I HATE YOUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU am not your queen anymore
nini tena baby umepigwa au?
I HATE YOUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU am not your queen anymore
mamiiiiiiiiiiiiiiiiiii
hahahaha umeona eeeeh mom yani hapa jihesabie umepata mkwe asiekimbia majukumu anaweza kutupa good time ukoo mzima
Pacha unajua mama kaniita sijui naenda finywa au la!
nini tena baby umepigwa au?
mama huyu mkweo ananiaibisha hadharani jamaniiiiiiii na hawa wapambe walivyo nuksi nitajificha wapi mimi
baby huyo mumeo namjua vizuri tabia yake ya pendapenda mi nilifikiri baada ya kuwa na wewe atatulia, kumbe bado analeta mapichapicha yake, ye muache aendelee aone nitakavyomfanya.
Love you toto langu!
ukifika we jilize kwa kwa sauti kubwa kabla hajakufinya ataacha mwenyewe maana mummy kwa kufinya ndo mwenyewe na lile kucha lake moja refuuu la dole gumba linauma hiloooo
Hapana sijawahi!
Basi yupo huyo kipenzi...
yaaaaani mom Excel anataka n niwe chizi kwa ajili yake sijui
heeeeee netweki ikisumbua kidogo kashatoa macho kwa virukanjia ohoooo my God
Yeah yaani nimepata mkwe wa ukweli raha iliyoje? Ukiwa na wakwe kama Excel wawili tu tayari nshakuwa billionaire
ma mkwe mbona alfajiri na mapema hivi?
kwanini lakini jamani?
kama ni security imepungua niambie niongeze electric fences na automatic robotics kabisa usisumbuke...
ma mkwe sipendi kuona unapata shida kabisa ujue!!
Jirani habari ya uzima
salama.... za kwako?
Dadii kichwa kinaumaa
siamini kabisaaaaaaaa
Stay tuned