My dad watu 8......

mama huyu mkweo ananiaibisha hadharani jamaniiiiiiii na hawa wapambe walivyo nuksi nitajificha wapi mimi

baby huyo mumeo namjua vizuri tabia yake ya pendapenda mi nilifikiri baada ya kuwa na wewe atatulia, kumbe bado analeta mapichapicha yake, ye muache aendelee aone nitakavyomfanya.

Love you toto langu!
 
baby huyo mumeo namjua vizuri tabia yake ya pendapenda mi nilifikiri baada ya kuwa na wewe atatulia, kumbe bado analeta mapichapicha yake, ye muache aendelee aone nitakavyomfanya.

Love you toto langu!

yaaaaani mom Excel anataka n niwe chizi kwa ajili yake sijui
heeeeee netweki ikisumbua kidogo kashatoa macho kwa virukanjia ohoooo my God
 
Last edited by a moderator:
ukifika we jilize kwa kwa sauti kubwa kabla hajakufinya ataacha mwenyewe maana mummy kwa kufinya ndo mwenyewe na lile kucha lake moja refuuu la dole gumba linauma hiloooo

Aiseee nimefika nalia akaanza kunibembeleza akaniuliza nalia nini nikamwambia dada
ladyfurahia kanichokoza wala hajanifinya si unajua mimi ninavyo deka kwa dady watu8
na mama measkron? utantaka mwenyewe chezea kifunga ..............wewe!
 
Last edited by a moderator:
yaaaaani mom Excel anataka n niwe chizi kwa ajili yake sijui
heeeeee netweki ikisumbua kidogo kashatoa macho kwa virukanjia ohoooo my God

goodmorning sweetheart... wish you the best goodmorning my sunshine!

please listen nothing from no one... ma mkwe Lady doctor, please get my point... imediately after marriage, iam going to take my queen miss neddy to the empire she will never forget...

trust me mama,

she is the only one,

the one i love the most,

the other will never arise,

queen neddy is the owner of my heart,

the queen i never saw,

lets share the love to the end,

me n her we love each other.............. thanks for appreciation ma mkwe!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Yeah yaani nimepata mkwe wa ukweli raha iliyoje? Ukiwa na wakwe kama Excel wawili tu tayari nshakuwa billionaire

ma mkwe mbona alfajiri na mapema hivi?

kwanini lakini jamani?

kama ni security imepungua niambie niongeze electric fences na automatic robotics kabisa usisumbuke...

ma mkwe sipendi kuona unapata shida kabisa ujue!!
 
Jirani habari ya uzima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom