Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 6,995
nimeshasamehe your sweet love, ameniletea zawadi nimeipenda maana inaendana na hii hali ya hewa ya Singapore
Last edited by a moderator:
usijali ma mkwe.. naahidi kwa moyo wangu woote kuwa miss neddy atakuwa wangu peke yangu.. nami wake peke yake!
ba mkwe anarudi lini?
nimefurahi kusikia hivyo mkwe wangu... Nami nawapa baraka zote.
Anarudi wiki ijayo
ahsante sana ma mkwe.. mimi na queen miss neddy,... tuko closer than i can say...
btw, ushapata lunch mamii?
yeah nimepata muda si mrefu mkwe, we umeshapata?
ma mkwe usijali kuhusu mimi, si unajua tena mfalme anavyojaliwa na malikia? haipiti dakika hujalishwa zabibu!
ipo siku ntakukaribisha kwenye castle yangu angalau upumzishe akili..
hahahahahaaaa, pacha mi chichemi naogopa kufinywa na mama
Mwenzangu mwanyasi nami nilikua katika pilika ya kugomea posho ya laki tatu
Huamini?
nimeshasamehe your sweet love, ameniletea zawadi nimeipenda maana inaendana na hii hali ya hewa ya Singapore
mamii kunani huku?
please kama ulivyoniambia kwa angelicious..! na wewe naomba usiwe unamtaja huyu mwanyasi! deal mamii?
usiwe na wasiwasi my king usemacho kinapita bila kupingwa
aisee niseme ahsante... sasa tuanze kujipanga lini hasa tutangaze hii kitu yetu.. kifalme zaidi..!
Asante sana mkwe wangu walah mwaka huu ntanenepa
I HATE YOUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU am not your queen anymoreahsante sana ma mkwe.. mimi na queen miss neddy,... tuko closer than i can say...
btw, ushapata lunch mamii?
I HATE YOUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU am not your queen anymore
Mama mbona hukuniambia mapema na mimi nikaja kulima?
nimekasirika ndo maana shamba limeharibika.