beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 523
- Thread starter
- #61
Bado sifanya sensa vizuri...nikitoka Idodomya kwenye vikao vya katiba mpya nitakuja nyumbani tufanye kikao
Dadii nan kamuibia naniliu laptop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado sifanya sensa vizuri...nikitoka Idodomya kwenye vikao vya katiba mpya nitakuja nyumbani tufanye kikao
things are to be tried, an old lady cooked stones and they produced soup. _ go on shem to hopefully be Excel
beibe nasty kaka Mentor anashindwa aanzaje kuomba msamaha...welcome back though!
Mi sio bazazi mkuu...nakuheshimu mkuu
Dadii nan kamuibia naniliu laptop
Yule mzee sijui hata kaweka wapi dadavuzi yake...anataka kuwaletea fedheha waheshimiwa wenzake khaaa
Kumbeee
beibe nasty hakuna mtoto aliyekanwa na baba yenu watu8, Ladymasa hujambo mwanangu? huku mvua inanyesha sana tumeanza kupalilia mahindi ila kwa mvua kubwa shamba lote limeharibika sijui kama tutavuna kitu
come on.. come slowly!!!
your lips are soo sexy!
Bado sifanya sensa vizuri...nikitoka Idodomya kwenye vikao vya katiba mpya nitakuja nyumbani tufanye kikao
Uzuri hajatutupa ....Lady doctor mi nduguyo kaa ukijua
Aaha! na hakukuambia kuwa ana watoto? maana nimeshangaa
hata pacha wangu Lady doctor anashangaa. nipe mastory dada angu.
mkwe mambo gani haya?
ok sweet daddy, usisahau kung'ang'ania posho unga umeisha huku