Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,707
karibu beibe nasty jina zuriiiiii
Last edited by a moderator:
karibu beibe nasty jina zuriiiiii
mtoto mzuri hujambo....?
Baba yenu kazi yake ni kuzaa tu watoto hata hamjuani
karibu beibe nasty jina zuriiiiii
nakuaminia mkuu... wewe tena! penati hiyo bana!! golikipa hayupo!
Hii familia inahitaji maombi
Naogopa hayo mapengo yako utanimumunya bureeee
Unfortunately sijazaliwa na measkron ila alinikaribisha vizuri enzi hizoo katika familia yake ni mama mwema saaana so sina shida nae hata dadii anajua..
Afu the time nimepumzika kuingia jamvini ndo nawewe ukaingia so hukunionaga ndo mana n dadii hakukutambulisheni dats why
jamani how!? mbona hivyo lakini?
Aaha! na hakukuambia kuwa ana watoto? maana nimeshangaa
hata pacha wangu Lady doctor anashangaa. nipe mastory dada angu.
Umeanza umeanza urembo wangu waujulia wapi wewe Excel
Ntamuita my dadii wangu