My dad watu 8......

Tobaaaaa! dady watu8 embu tueleze bhana mum measkron ukuje tafazali!

Unfortunately sijazaliwa na measkron ila alinikaribisha vizuri enzi hizoo katika familia yake ni mama mwema saaana so sina shida nae hata dadii anajua..
Afu the time nimepumzika kuingia jamvini ndo nawewe ukaingia so hukunionaga ndo mana n dadii hakukutambulisheni dats why
 
Last edited by a moderator:

Aaha! na hakukuambia kuwa ana watoto? maana nimeshangaa
hata pacha wangu Lady doctor anashangaa. nipe mastory dada angu.
 
Last edited by a moderator:
Umeanza umeanza urembo wangu waujulia wapi wewe Excel
Ntamuita my dadii wangu

jamani beibeee!! sasa utamuitaje dadii wakati sie huku ni watu wazima bana?

kwani una miaka 12? dadii yuko na mamii ndani!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom