beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 523
Shalom humu jamvini...za masiku mingi wana cc nimewakosa(I miss u ) saaana kwa muda murefu siez wataja woote ila nadhan Mr.Rock,Arusha One Erick B52..My x Jg nawengineo...sasa ila leo nimekuja rasmi kutaka kujua dad wangu Watu 8 nasikia ulikua unakana watoto wako je na mimi nipo katika kukanwa dad? nahitaji confirmation douta wako....na mimi mekukosa (i miss u)mnooo n u know it dad even my big bro Mentor knows about it.
Wako mimi douta wako beibe nasty
Wako mimi douta wako beibe nasty