My dad watu 8......

beibe nasty

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
1,640
523
Shalom humu jamvini...za masiku mingi wana cc nimewakosa(I miss u ) saaana kwa muda murefu siez wataja woote ila nadhan Mr.Rock,Arusha One Erick B52..My x Jg nawengineo...sasa ila leo nimekuja rasmi kutaka kujua dad wangu Watu 8 nasikia ulikua unakana watoto wako je na mimi nipo katika kukanwa dad? nahitaji confirmation douta wako....na mimi mekukosa (i miss u)mnooo n u know it dad even my big bro Mentor knows about it.
Wako mimi douta wako beibe nasty
 
Nimekuja mbio kama kuku aliyekoswa koswa na kisu siku ya hitma....eenh hebu nambie binti yangu mpendwa ndio nini kumsusa dad yako hivyo?

Dad u know mambo yalivokuaga n unfortunately niliumwa mtoto wako we si ulikimbia but here iam dady mekuja kukufuata:)
 
Alaa !
Kumbe upo dunia hii my formal ex?
Nilisikia uko Netherland and then ukahamia Holland .
Is't ?
Btw karibu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom