My Computer is SLOW.Need help.

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Nov 30, 2008
1,518
22
1. My computer was runing very well sometimes.
2. Then became slow, the IT man advice me to increase the Memory.He did add memory and performed some other operations in.
3. From there speed was good(very fast).
4. I havent added in any more data since then.
5. Since then I have being using it for browsing internet.Almost everyday.
6. It is free from Virus as I always do a scan with up todate Antvirus.
7. It has started to be very slow again.
JF Technology Doctors,
Please help?
 
mwanzoni ilikuwa na memory kiasi gani? unazungumzia RAM? na sasa hivi ina memory kiasi gani?
 
Aisee Exaud, tunaomba specs (model, make etc) za Computer yako ili tujaribu kukusaidia
 
Huenda una trojan programs katika computer yako. Ku-scan computer pekee haitoshi kama una trojan. Jaribu kutumia kaspersky anti-virus ambayo itakusaidia ku-block hizo programs au format computer yako na urudie ku-install programs upya.
 
Huenda una trojan programs katika computer yako. Ku-scan computer pekee haitoshi kama una trojan. Jaribu kutumia kasperskyanti-virus ambayo itakusaidia ku-block hizo programs au format computer yako na urudie ku-install programs upya.
Mkuu,
Natumia AVAST na sina kaspersky.
 
Kama walivyosema baadhi ya wadau kuna vitu vingi zaidi ya virus vinafanya PC au laptop kuwa slow

Malware,spyware, na vinginevyo amabavyo kwa computer iliyokuwa connected na internet lazima ikumbane navyo.

Mara nyingi program hizi zinatengeneza executable file iyatumia memory kubwa. kama tatizo ni hili jaribu kucheki jinsi mashine yako inavyobehave ukiwa unatumia kwenye task manager anali perfomance ya CPU na Memory usage. Vile vile angalia ni process gani zinatumia memory nyingi.

Kama kuna process inayukula memory nyingi amabyo haieleweii eleweki jaribu kuigoogle ijue ina kazi gani kwenye mashine.

Pia kuna program nyingi ambazo sometime zinakula sana memory hata kama huzitumii. kwa kimombo zina run banckground. mfano yahoo na msn mesenja. kama unatumia Firefox hakikisha ume disbale Intenrnet explorer sababu yenyewe nayo inakula memory.

Dawa jaribu kudisable rpgram ambazo hujiitaji . sio kudelete kudisable kwa specific time.
 
Unatumia OS? gani kama ni Vista, its normal ondoa hiyo kitu weka ingine.

and you can't talk about RAM without taking Processor into consideration.
Na kama unatumia window XP fanya hivi CTRL +ALT+DELETE. check process zinazo-run.
 
Si mtaalamu sana but waweza kuhifadhi data zako na uformat upya computer yako ndo dawa nzuri km imekuwa attached na virus wengi.
 
Kuna software moja inaitwa TuneUp Utilities 2010 inasaidia sana kuongeza speed ya computer, inakupa option ya stop process zisizo za mhimu ku-run inarecover space zilizojanzwa na mi -backup and mi-cookies! Its nice unaweza ijaribu trial version inapatikana just Google it
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom