My car, our car!! - Kaazi kweli!

Baada ya kusoma baadhi ya comments hapa naona solution ni Pre-nuptial agreement tuu.
 
Kama pre-nup ndio suluhisho basi ni heri msioane kabisa na mbakie marafiki wenye mafao...

Kuna issue ya watoto na vitu kama hivyo, mfano society yetu (Tanzania) kama hujaoa au kuolewa watu wengi watakuchukulia wewe ni mhuni na mshenzi wa tabia. Kwa hiyo unaweza kujikuta unarukwa vitu vingi tu.

**Zone 3 ya Bankhead?
 
Kuna issue ya watoto na vitu kama hivyo, mfano society yetu (Tanzania) kama hujaoa au kuolewa watu wengi watakuchukulia wewe ni mhuni na mshenzi wa tabia. Kwa hiyo unaweza kujikuta unarukwa vitu vingi tu.

Perceptions kama hizo za uhuni kwa watu ambao hawajaoa na kuolewa zinaanza kupungua. Na kuwa na mtoto au watoto sio lazima uwe umeoa au umeolewa. Let's face it, marriage ain't for everybody.
 
Sijui kwa nini akina mama iwa wanapenda hivi yaani chake ni chake changu chetu....duh kazi kweli kweli.
ni wa kabila fulani kaskazini mwa tanzania.....mashori wa kisukuma hawako hivyo......
 
Registration ndo mwisho wa mambo yote. Kama aliyeandikishwa kwenye hati ya umiliki ni mmoja, hata mkisema "chetu" ni kwa kulinda mahusiano tu, lakini mwisho wa siku unajulikana.
 
Sijawahi kusikia wala kuona walio oana pale wanapo achana ama kutarikiana... Mume akamdai mke mali.... Siku zote Mke ndiye anayedai mali kutoka kwa mume zigawanywe...! (Japokuwa inawezekana).
 
Shishi,

Is that cute lavender blouse "ours" or "yours"?

that cute lavender blouse that u bought me is mine!!! sasa hata nguo jamani zitakuwa zetu...ati hebu baba junior leo nataka uvae ile shati yetu ya blue!!!!! duh!
 
ni wa kabila fulani kaskazini mwa tanzania.....mashori wa kisukuma hawako hivyo......

Nampango kwenda Usukumani vekesheni vp shoriis kule nasikia mafiga ndo kwenyewe kule mpwa unakuta toto la kisukuma limekwea hewani kama twiga dah mguu huo umbo namba 8 mamama sura black beauty mazee lazima uzimie hasa akiona Nyani Ngabu lazima atume ticket.
 
Sijawahi kusikia wala kuona walio oana pale wanapo achana ama kutarikiana... Mume akamdai mke mali.... Siku zote Mke ndiye anayedai mali kutoka kwa mume zigawanywe...! (Japokuwa inawezekana).

...kaka, Mw'Mungu aendelee kukunusuru hivyo hivyo, ...nishashuhudia njemba linamnyang'anya mke sufuria, mwiko mpaka vijiko vya chai! Aibu tupu aisee.
 
Nampango kwenda Usukumani vekesheni vp shoriis kule nasikia mafiga ndo kwenyewe kule mpwa unakuta toto la kisukuma limekwea hewani kama twiga dah mguu huo umbo namba 8 mamama sura black beauty mazee lazima uzimie hasa akiona Nyani Ngabu lazima atume ticket.
shoriz za usukumani kali sana...kwanini tuandikie wino na mate yapo cheki toto hili pure from sukuma land
cynthia.jpg

and she's single
 
Shosty wangu mmoja kaolewa majuzi tu, haswa kamimba ndio kaloowasukuma kufanya mambo na wanaishi pamoja sasa. wote wenye kazi nzuri, kila mmoja wao ana gari, and all the basic requirements of a home. sasa juzi nimepeleka umbea huko... salamu za kupitiapitia tu. tukaburudika chai ya nguvu na stori kibao etc etc. saa ya kuondoka wananisindikiza madam akasema.... your car...... dume likajibu... our car... sote tukacheka.. nikaongezea kusema... wajua bado hajazoea 'our'. sasa hii si kazi ngumu nyie...everything becomes ours eti eh!!!! how long does it take one kwa wale wenye experience ku adjust to ours.... and don't you feel like your privacy is being invaded etc etc. and will u be offended kama nikisema your car or my car???? kwa mfano tu?? sasa mie nimejikakamua nikanunua benzi ya nguvu halafu iwe yetu duhhhhh!!!

Tushaurianeni!
hakuna la maaana unalozungumza hapa............
 
shoriz za usukumani kali sana...kwanini tuandikie wino na mate yapo cheki toto hili pure from sukuma land
cynthia.jpg

and she's single

Mie hunidanganyi
huyu sio msukuma ila ile mijizi ya Kinageria
Msukuma gani ana nywele kama paka bwana
 
It all depends.
Kama alikopa wakati anamchumbia mka-spend wote, lady anaona mwanaume si huyu,
yuko liquid enough! Hayo madeni yenu kwa sababu keshakupata atasema ukweli sasa, kuwa hizi ni zile pesa tulizokuwa tuki-spend wote. Mama amsaidie kulipa si vibaya.

Hondohond umenifurahisha

. ila what if tukizungumzia deni la vitu kama umeme au maji. Umenioa nimekukuta nyumbani kwako (ambako natakiwa nipaite kwetu). Na ulikuwa na madeni haya huko nyuma hayajalipwa. Yanakuwa madeni yetu au vipi?
 
mh kaka hadi umekwendasaka ushahidi.... si bure kipo kilichokugusa !(joke)

heheh MJ1 unajua vijana wa siku hizi naona hawamjui cynthia masasi,, ndo nikaona nimsaidie tu manake ukigoogle kidogo tu huyo..he usifungue iyo website kama upo na....manake mamabo yake mazito. Ila nashangaa website yake mwenyewe iko doro au ndo mdororo wa uchumi?

ndo kilichonigusa icho...:rolleyes:
 
Back
Top Bottom