My car, our car!! - Kaazi kweli! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My car, our car!! - Kaazi kweli!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Shishi, Jul 29, 2009.

 1. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Shosty wangu mmoja kaolewa majuzi tu, haswa kamimba ndio kaloowasukuma kufanya mambo na wanaishi pamoja sasa. wote wenye kazi nzuri, kila mmoja wao ana gari, and all the basic requirements of a home. sasa juzi nimepeleka umbea huko... salamu za kupitiapitia tu. tukaburudika chai ya nguvu na stori kibao etc etc. saa ya kuondoka wananisindikiza madam akasema.... your car...... dume likajibu... our car... sote tukacheka.. nikaongezea kusema... wajua bado hajazoea 'our'. sasa hii si kazi ngumu nyie...everything becomes ours eti eh!!!! how long does it take one kwa wale wenye experience ku adjust to ours.... and don't you feel like your privacy is being invaded etc etc. and will u be offended kama nikisema your car or my car???? kwa mfano tu?? sasa mie nimejikakamua nikanunua benzi ya nguvu halafu iwe yetu duhhhhh!!!

  Tushaurianeni!
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Duuh..sasa kumbe ukinunua benzi inakuwa na thamani kuliko hata mume/mke?

  Inabidi kuzoea, mi binafsi nitakuwa offended kama ukiaddress kwa kutumia hizo possesive pronouns....mkishakuwa mke/mume vitu vya msingi inabidi viwe 'vyetu' kama nyumba, magari, investments nyingine etc.

  Otherwise hakuna sababu ya kuishi kama mke na mume huku kukiwa na hisia za kuposess vitu so that you feel kuwa ni vyako in that way...

  Hapo hata magari yapo mawili, bado hakuna sababu ya kucategorise eti hili langu just because umenunua 'wewe...'

  Ni mawazo yangu tu....Shishi....
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...asikudanganye mtu wala hakuna la kushauriana, kwanza hujasikia pre-nuptials weye? 'chetu' ni watoto tu, tena tukichafuana wanakuwa 'wake' au 'wangu'!... vilivyobaki either vyake au vyangu :mad:
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Jul 29, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Alicho chuma mume, ni cha familia, yaani chenu wote. Lakini alicho chuma mke chake peke yake...!

  Habari ndio hiyo.
   
 5. C

  Chakarota Member

  #5
  Jul 29, 2009
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  What about one of you baada ya kuoana kagundua kua una madeni kibao, i.e bank loan cai instalment etc. will you still say our madeni ?
   
 6. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Hapa inategemea kwa kweli, kama nimeolewa na kukuta mume tayari ana vitu vyake, kama nyumba, gari n.k, hivi vitu vitakuwa ni vya kwake na sio vya kwetu. Japokuwa baada ya ndoa mnakuwa mwili mmoja lakini kwangu itakuwa ngumu kusema our car or our house. Vile vile yeye akinikuta na mie nina vya kwangu nadhani itakuwa my car/house. Lakini baada ya kukaa pamoja na kuchuma vitu kwa pamoja risiti ina jina lake na langu, hapo itakuwa our car/ house.
   
  Last edited: Jul 29, 2009
 7. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hahaha privacy inakua invaded the first time you see each other naked. Mmesha consumate uhusiano halafu uone kuna privacy kuwa invaded? Anyway the adjustment period ina tegemeana na mtu mwenyewe. Kama mtu kashazoea changu kukubali kimekua chetu ina chukua muda. Na hakuna ubaya mtu kusema hiki ni changu kama ume kinunua as long as haumnyanyasi mwenzio au kumnyima kutumia kitu hicho just because wewe ndiyo ume nunua. I personally believe that ndoa ni two bodies becoming one soul and not two souls becoming one body. Hata iweje all of us will always remain to a certain degree as individuals.
   
  Last edited: Jul 29, 2009
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  kwanza huna adabu, utamwitaje mume wa rafiki yako dume?!
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kwi kwi kwi kwi ulitaka amwite beberu?
   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Jul 29, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ...... Hahaha umenikumbusha mie enzi zile nikiwa mbichi ndoani nilikuwa nagombana na Mr. maana kuna siku nilivunja kiglass kimoja alikuwa anakipenda sana -nikamwambia leo nimevunja ile glass yako kwa bahati mbayaq-kumbe nilisahau kuwa hata kununua alinunuaga yeye kabla hatujaoana (sijui aliachiwa ukumbusho!!-maana mapenzi aliyokuwa nayo hayakuwa ya kawaida ati)- nikaanuniwa eti nimetumia neno 'yako'.

  Nafikiri ndio maana wanasema mkishaoana mnakuwa mwili mmoja ama!!

  Kwa kweli ndoa si lelemama na mtu unatakiwa kutafakari kwanza kabla ya kufanya maamuzi
   
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  Jul 29, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ...... Hahaha umenikumbusha mie enzi zile nikiwa mbichi ndoani nilikuwa nagombana na Mr. maana kuna siku nilivunja kiglass kimoja alikuwa anakipenda sana -nikamwambia leo nimevunja ile glass yako kwa bahati mbayaq-kumbe nilisahau kuwa hata kununua alinunuaga yeye kabla hatujaoana (sijui aliachiwa ukumbusho!!-maana mapenzi aliyokuwa nayo hayakuwa ya kawaida ati)- nikaanuniwa eti nimetumia neno 'yako'.

  Nafikiri ndio maana wanasema mkishaoana mnakuwa mwili mmoja ama!!

  Kwa kweli ndoa si lelemama na mtu unatakiwa kutafakari kwanza kabla ya kufanya maamuzi
   
 12. a

  agika JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 381
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hahahhaha Wallah hamwishi vituko.......

  shishi mummy muda wa kuadjust na hiyo changu chetu hauko fixed unategemeana na nyinyi wenyewe honesty na bond kati yenu,
  kuhusu mali zake na zangu kabla ya ndoa,baada ya ndoa tutaita tu chetu lakini umiliki unabakia palepale kwamba aidha chake au changu, lakini pia sio tu kabla ya ndoa unaweza nunua hata baaada ya ndoa mwenzangu naweka jina langu kisha nakwambia darling nyumba yetu tuirenovate vipi? gari letu lishafikia kilometer 3000 linatakiwa lende service, lakini ukiangalia kadi ya gari jina AGIKA. Okay? but still ours hahahhahah
   
 13. Kidege

  Kidege Member

  #13
  Jul 29, 2009
  Joined: Jul 18, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ule usemi wa Changu changu na chake changu ndiyo unaowafanya dada zetu waseme My badala ya Our!
   
 14. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  Ala????? sina adabu???? thats an insult, lakuhus nini???  duhhhhhhhhhhhhhhh!
   
 15. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  ahahahahha... labda kaachiwa na memsap wa zamani...sentimental attachments u know!!!
   
 16. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #16
  Jul 29, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  .. Nakwambia yaani alikasirika ila alisingizia hasira ni za kusema glasi yako eh!! na ndio kwanza nina mwezi ndani ya ndoa ah. Itakuwa ni maumivu yale tu (kupoteza sentimental attachment) si lakuambiwa yako

  Ngoja nicheke mie!!
   
 17. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  we nawe hiyo benzi ni mfano tu.... naona tu it will always take time ku adjust.... we hata vikombe vinakuwa vyetu??? huoni makubwa hayo...
   
 18. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #18
  Jul 29, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ila je ukinunuliwa na Mr. Hilo gari si bado utaliita lako au hii haihusiani?
   
 19. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135


  mmmm alikuwa anaumwa sana ndani kasingizia chako chetu!!!!!! sometimes haya mambo naona kama pia ni pretence... tuweni wazi jamani..... mbona mkianza kukosana utasikia mambo ya gari langu lako yamerudi....usitake talaka... ndipo hapo utajua vyako ni vyako kweli!
   
 20. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #20
  Jul 29, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  sasa hapo su inajua ni LANGU!!!!!! zawadi jamani!!!!!!!!!!!!!!!:)
   
Loading...