My best gospel song ever

mtzmweusi

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
7,168
2,000
Wakuu naomba mnisaidie jina la huu wimbo. Jehova nisi, jehova shalom elioki Bwana nakuabudu. Naomba sana ni wazamani kidogo
Huo kaimba jamaa anaitwa naki kama nakumbuka unaanza hivi baba wa mbinguni unatoshaaa wewe uliye mkuu na mwema ......
 

milioni milioni

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
1,849
2,000
Mungu Wetu Mwenye Nguvu-Solomoni Mukubwa Na Nifundishe Kunyamaza-Martha Mwaipaja Huwa Zinasuuza Roho Yangu Kabisa.
 

fierceman

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
553
1,000
kuna dada anaitwa "alisa turner" aise hakunaga wimbo ambao kaimba sijawahi kuupenda na haujawahi kugusa hisia zangu...baadhi ya nyimbo zake ni kama 1.miracle 2.my prayer for you bila kumsahau angelbenard na wimbo wake wa "nikumbushe wema wako" aise unanifanyaga nitafakari sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom