Wana MMU habari zenu,Nina rafiki yangu wakike kipenzi tatizo lake anapenda boyfriends wa kizungu ambao wanaishia kumla tunda na kumuacha tu keshatembea na kama nane nnaowajua.Alikua na Bf mwenye malengo na Career nzuri wameshindwana afta kumkuta na mzungu katika pozi lisilo eleweka!!! kiukwel n dada mzur rafiki mzur ila nashindwa kumshaur nahisi ataona namuonea wivu kupata wazungu ambao huwa wanamtoa na kumpa vitu vidogodogo kwan amekua na tabia yakusema watu wanamuonea wivu.Nampenda sana nisaidieni nimshauri vipi huyu best