My best Friend kwa wazungu

waleoleo

Member
Jun 18, 2012
53
17
Wana MMU habari zenu,Nina rafiki yangu wakike kipenzi tatizo lake anapenda boyfriends wa kizungu ambao wanaishia kumla tunda na kumuacha tu keshatembea na kama nane nnaowajua.Alikua na Bf mwenye malengo na Career nzuri wameshindwana afta kumkuta na mzungu katika pozi lisilo eleweka!!! kiukwel n dada mzur rafiki mzur ila nashindwa kumshaur nahisi ataona namuonea wivu kupata wazungu ambao huwa wanamtoa na kumpa vitu vidogodogo kwan amekua na tabia yakusema watu wanamuonea wivu.Nampenda sana nisaidieni nimshauri vipi huyu best
 
Mange syndrome @work....

hahahaaaaaa apana chezea muke ya muzungu..anachange watuuu i can imagine kaka zetu wabongo aftr 20 yrz...no blak babes! no more! Only WHITE HUNTERS will surviveeeee!!! Mweh!!!
 
Kipenda roho hula nyama mbichi,mwache tu ipo siku atarudi unapotaka wewe.
 
Mwache atimize haja ya moyo wake, huyo si wa kwako tena anza tu mchakato wa kutafuta mwingine.
 
Unaelewa maana ya best friend??

Kama kweli ni best friend wako, sioni ni kwa nini ushindwe kumshauri na kumueleza ukweli..!!

Vinginevyo huo urafiki wenu ni wa kinafiki..!!
 
khaaaaaaaaaaaa na wewe unamng'ang'ania ilhali unajua ana mizuka na wazungu?

Wana MMU habari zenu,Nina rafiki yangu wakike kipenzi tatizo lake anapenda boyfriends wa kizungu ambao wanaishia kumla tunda na kumuacha tu keshatembea na kama nane nnaowajua.Alikua na Bf mwenye malengo na Career nzuri wameshindwana afta kumkuta na mzungu katika pozi lisilo eleweka!!! kiukwel n dada mzur rafiki mzur ila nashindwa kumshaur nahisi ataona namuonea wivu kupata wazungu ambao huwa wanamtoa na kumpa vitu vidogodogo kwan amekua na tabia yakusema watu wanamuonea wivu.Nampenda sana nisaidieni nimshauri vipi huyu best
 
hahahaaaaaa apana chezea muke ya muzungu..anachange watuuu i can imagine kaka zetu wabongo aftr 20 yrz...no blak babes! no more! Only WHITE HUNTERS will surviveeeee!!! Mweh!!!

:becky::becky::becky::becky::becky::becky: Unafikiri wao hawawali hao wazungu, Wanamegwa hasa na mablack.....!:becky::becky::becky::becky::becky:
 
Embu mwache Bidada aende places she NEVER DREAMED OF!!!!!!!!!!! Aaaaaaah! Maisha ni Kuchagua!!!!!! Chagua kujiachia na walioanzisha CIVILIZATION!!!!!!!!

Tuacheni masihara Wazungu wanahonga jamaniii, haswaaa wale wazungu ORIGINAL!!!!!!! Kuna dada mmoja alikuwa mhudumu hoteli tu, kweli Mungu si Lara 1 kampata Mdutch mmoja engineer wa nini sijui! Alipo kimaisha sasaivi huyo dada, i can never dare to dream kumfikia!!!!! Kamjengea compound ina apartments kama zaidi ya 30 masaki huko, moja tu dollar 3500 kwa mwezi!!!!!!!!! Kodi tu keshatoka kimaisha acha investment zingine ambazo sizijui!!!!!!

Wazungu hawa bwana Ukiwafuma mali sanaaa, tatizo lao Unene hawautaki, manake huyo dada kamaintain 50Kg zaidi ya 5 years!!!!!! Hali kabisaaa, si adhabu sasa hiyo!

Ila pia kuna black nomaaaaaa!!!!! Kama Jesca mamaaa MSD! Mambo yake zaidi ya wazungu 20!!!! Maisha bahati jamani, iwe na mzungu au black!!!!!!!! Watu na bahati zao!!!!! Ngoja nifanye kazi ya kujenga taifa mie manake Majungu si Mtaji!!!!!!!!!!
 
Mange syndrome @work....

Hahaaahaaaaaaaaa! Nakuona Muke ya Muafrica ulivofuraaaa! LOL! Mi nashangaa sana mnamsifu Mange kuileta fever ya Wazungu wakati watu wamegundu wazungu kitambooooo sanaaaaa, wkt Mange was still busy dating Gonga! Hawa pont five wazee 40 hadi 50 si inamaana mama zao waligundua wazungu WAY BACK THEN!!!!!!!!!! Tena raha ya enzi hizo ukienda Ulaya unarudi nae mwanangu, kuwaziba wanoknok wa mtaani mdomo!!!!!

Wapi Dr Remmy(R.I.P) na mzungu wake! In short hii trend ya wadhungu iko kitambo wala sio Manges doing hata kidogo, ma be i can give her credit kwa kuirefersh manake ilianza kufifia kidogo. Ila wako Mabaharia toka uhuru wanarudi na wazungu, na wadada/wbibi wa mujini walikuwa wanajiachia na Mabaharia toka way back then!!!!!!!
 
Hahahahah muke ya muafrika ndo mpango mzima,unamsifia ujinga 2 ka yeye mwanamke kweli atafute mawe peke yake....ameharibu mabinti wengi kwa mtazamo wake hasi... kopakopa united 2
Hahaaahaaaaaaaaa! Nakuona Muke ya Muafrica ulivofuraaaa! LOL! Mi nashangaa sana mnamsifu Mange kuileta fever ya Wazungu wakati watu wamegundu wazungu kitambooooo sanaaaaa, wkt Mange was still busy dating Gonga! Hawa pont five wazee 40 hadi 50 si inamaana mama zao waligundua wazungu WAY BACK THEN!!!!!!!!!! Tena raha ya enzi hizo ukienda Ulaya unarudi nae mwanangu, kuwaziba wanoknok wa mtaani mdomo!!!!!

Wapi Dr Remmy(R.I.P) na mzungu wake! In short hii trend ya wadhungu iko kitambo wala sio Manges doing hata kidogo, ma be i can give her credit kwa kuirefersh manake ilianza kufifia kidogo. Ila wako Mabaharia toka uhuru wanarudi na wazungu, na wadada/wbibi wa mujini walikuwa wanajiachia na Mabaharia toka way back then!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Unaelewa maana ya best friend??

Kama kweli ni best friend wako, sioni ni kwa nini ushindwe kumshauri na kumueleza ukweli..!!

Vinginevyo huo urafiki wenu ni wa kinafiki..!!

Naelewa sana tu nilijarbu kumwambia once ikawa tabu akanuna akasema maneno kbao
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom