My artwork diary

Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba hizo pic zimechorwa na mtanzania
Weka kazi boss uaminishwe,utapata real time update ya progres ya kazi yako kila hatua kuanzia kwenye sketch mpaka shading then framing Jambo jema laweza toka Tanzania.
 
Weka kazi boss uaminishwe,utapata real time update ya progres ya kazi yako kila hatua kuanzia kwenye sketch mpaka shading then framing Jambo jema laweza toka Tanzania.
Au uattenda live sketching session Kama una muda
 
#archive
Medium:mix of watercolor pencils
Size:A2(29.7×42.0cm)
Time taken:6days
IMG_20210502_133410_470.jpeg

IMG_20210816_091328.jpeg

IMG_20210816_091340.jpeg
 
Nilikuwa na idea ila hii naona itapendwa zaidi na watu wa nje! Napenda Sana mambo ya anga so Kama utaweza kuchora artistic mchoro wenye idea hii itapendeza but najua kwa kuwauzia wabongo itakuwa tabu Sana..

Ipo hivi idea yenyewe ni nadharia unachora mwanaanga yupo mwezini akiwa anashangaa foot prints za miguu ya mwanadamu! Picha hii lazima awe ktk mshangao haswaa!! Coz ni kitu si cha kawaida ila najua ni ngumu kumchora akiwa kavalia lile dubwasha na aonekane akishangaa!!.. at the same point kifaa alichotumia kufika nacho mwezini kionekane kwa nyuma yake halafu na dunia lazima ionekane kwa mbali ikiwa nusu!.. manjonjo mengine unaweza ongezea ila isiwe chumvi sanaaa!
Nikija kupata fedha nitapenda hii idea iwekwe mchoro na niupambe sebuleni kabisa..
Ulifikiria nini mkuu?
 
Upo vizuri sana.

Nilipenda uchoraji sana.
Kabla sija master hiyo art nikaishia njiani.
 
Back
Top Bottom