My artwork diary

Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
9,532
2,000
Upo vizuri sana.

Nilipenda uchoraji sana.
Kabla sija master hiyo art nikaishia njiani.
 

Hypolite

Senior Member
Jul 6, 2017
170
500
The late Magufuli

Size:A2(59.7×42.0cm)

Medium: Charcoal pencil on paper
IMG_20211003_193714.jpeg

IMG_20211003_193719.jpeg

PSX_20211003_184000.jpeg
 

Espy

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
71,695
2,000
Nilikuwa na idea ila hii naona itapendwa zaidi na watu wa nje! Napenda Sana mambo ya anga so Kama utaweza kuchora artistic mchoro wenye idea hii itapendeza but najua kwa kuwauzia wabongo itakuwa tabu Sana..

Ipo hivi idea yenyewe ni nadharia unachora mwanaanga yupo mwezini akiwa anashangaa foot prints za miguu ya mwanadamu! Picha hii lazima awe ktk mshangao haswaa!! Coz ni kitu si cha kawaida ila najua ni ngumu kumchora akiwa kavalia lile dubwasha na aonekane akishangaa!!.. at the same point kifaa alichotumia kufika nacho mwezini kionekane kwa nyuma yake halafu na dunia lazima ionekane kwa mbali ikiwa nusu!.. manjonjo mengine unaweza ongezea ila isiwe chumvi sanaaa!
Nikija kupata fedha nitapenda hii idea iwekwe mchoro na niupambe sebuleni kabisa..
Ndio maana unarogwa!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom