MWONGOZO: Zingatia haya unapoweka tangazo lako!

Swali la nyongeza:
Kwa mfano nina uzi wangu wa simu na hakuna maoni, je kama nina updates mpya nikaweka ndani,je uzi utaonekana upo chini ya zingine au unakuwa juu kama uzi mpya??
 
Niliweka tangazo la jifunze kingereza kwa kiswahili,nikaweka namba,ninapopatikana lakin mmeyafuta nipen kosa laje
 
Sawa kwa muongozo,nina mswali mawili nahitaji majibu.
1)kwanini kufungua acc mnachelewa sana ku acept? Kuna ndugu anasubiri toka juzi na bado hakuna majibu.
2)nitumie njia gani kubadilisha jina langu humu na maombi kupokelewa haraka?
Wanazingua Hawa matangazo wanayafuta kila kukicha na yamezingatia vigezo vyoooote ,kwanini?
 
Sawa kwa muongozo,nina mswali mawili nahitaji majibu.
1)kwanini kufungua acc mnachelewa sana ku acept? Kuna ndugu anasubiri toka juzi na bado hakuna majibu.
2)nitumie njia gani kubadilisha jina langu humu na maombi kupokelewa haraka?
Maswali yako ni muhimu na ya msingi sana. Hata hivyo hapa si mahala pake..

Unaweza kuyawasilisha kwenye Jukwaa la Complaints, Congrats, Advice kwa ufafanuzi zaidi.

Asante.
 
Swali la nyongeza:
Kwa mfano nina uzi wangu wa simu na hakuna maoni, je kama nina updates mpya nikaweka ndani,je uzi utaonekana upo chini ya zingine au unakuwa juu kama uzi mpya??
Swali zuri. Kama uzi hauna maoni, tunashauri updates mpya uziweke ndani ya uzi huo kama Comment ili upande juu ambapo utaonekana kama uzi mpya.

Asante.
 
Kama mnafatilia swala la kuwekwa matangazo hapa jukwaani je ni hatua zipi nyinyi jamii forum mnazichukua endapo mtu akatapeliwa ama kuuziwa kitu feki...???

Tumeshaeleza kwenye maelezo ya Jukwaa pale chini kwamba JamiiForums haihusiki na mauziano yanayofanywa bila kutushirikisha.

Ni vyema muuzaji na mnunuzi wakawa makini wanapoafikiana kufanya biashara.

Asante.
 
Hapo kwenye kuweka bei ndio pakaziwe vizur kuna vipimbi vinaleta nyuzi zao bei utaskia nyoo Pm au nichek what up!
 
Kila nikiweka tangazo halikubali inakuja taarifa inayosema please inter 120 characters or viewers sijajua nifanye nini hapo ahsante
 
Katika vitu vya kushangaza mmeifungia account ya microsafi kisa eti spam, nikajua ni spam kumbe kama kuna kamchezo wa kuangalia mwenye matangazo mengi anafungiwa milele
 
Ndugu wadau wa Jukwaa la Matangazo Madogo,

Tunafarijika kuona mnaendelea kutumia vizuri jukwaa hili katika kufanya biashara.

Hata hivyo, kuna changamoto kwa baadhi ya wenzetu kushindwa kuzingatia vigezo vya kuweka matangazo yao hivyo kupelekea matangazo yao kuondolewa hewani.

Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
  1. Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
  2. Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
  3. Taja bei
  4. Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.
  5. Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
  6. Usiweke tangazo moja mara nyingi.
Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.

Karibuni kwa maswali na ufafanuzi zaidi..
Sasa kama nina biashara moja mnanisaidiaje ili nisirudie kulitangaza mara kwa mara?
 
Plz naomba validation ya kutuma (kupost) picha kwenye tangazo maana naambiwa nahitaji validation from the forum!
 
Mods naomba kuwauliza swali kama mpo,
Swali kuu ni kwamba mtu akivunja sheria kwa jukwaa hili huwa anapewa adhabu gani?
 
Hivi niwaulize nyinyi mna bifu na mimi, maana akaunti yangu ya kwanza mliifungia bila sababu na nikahoji sikupewa jibu

leo leo mnarudia yale yale mnafuta matangazo yangu yenye maelezo ya kila ktu kama akaunti ile ya awali bila taarifa

Kama hamtaki watu au mnachagua semeni tuachane na mtandao wenu tufanye mambo mengine
 
NIliweka tangazo juu ya huduma za mikopo zinazotolewa na kampuni yetu kwa watumishi wa umma
nilieleza kwa upana na uhalisia pasipo kuficha jambo lakini uzi ukafutwa mara zote
hadi nikwa burned kwa mda
sasa naomba kuuliza kwanini tangazo lilifutwa?(na nimeona mnasema matangazo ni bure)
Na kama nahitaji liwekwe nifanye nini?
 
Tumeshaeleza kwenye maelezo ya Jukwaa pale chini kwamba JamiiForums haihusiki na mauziano yanayofanywa bila kutushirikisha.

Ni vyema muuzaji na mnunuzi wakawa makini wanapoafikiana kufanya biashara.

Asante.
Naomba kufahamu hili

Nilipost Tangazo kwenye account yangu ya yna12 nikasahau password. .je!naweza post Tangazo kwenye account hii?
 
Ndugu wadau wa Jukwaa la Matangazo Madogo,

Tunafarijika kuona mnaendelea kutumia vizuri jukwaa hili katika kufanya biashara.

Hata hivyo, kuna changamoto kwa baadhi ya wenzetu kushindwa kuzingatia vigezo vya kuweka matangazo yao hivyo kupelekea matangazo yao kuondolewa hewani.

Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
  1. Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
  2. Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
  3. Taja bei
  4. Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.
  5. Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
  6. Usiweke tangazo moja mara nyingi.
Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.

Kuna baadhi ya matangazo hayaruhusiwi kabisa JamiiForums. Mfano matangazo ya kurasa za Blogs, Facebook, Instagram, Twitter au mtandao wowote yataondolewa mara moja.

Karibuni kwa maswali na ufafanuzi zaidi..
Asante mkuu kwa muongozo ila mimi nimeanzisha uzi nauza vifaa vya kielecronic nikaweka no zangu mbili za simu 0712525280 0785970087 nikaweka bidhaa nazo uza nikataja na eneo napo patikana na cjaanzisha uzi zaid ya mmoja ila Post yangu imefutwa tatizo nn hapo mkuu nifahamishe
 
Back
Top Bottom