Mwongozo wa utumishi wa umma

conservative vipi je kwa mtumishi mpya mwenye miezi 2 kazini lakini akabahatika kupata kazi kwenye mashirika ya umma yanayojitegemea mfano BOT,TRA au NSSF,je mtumishi huyu anauwezo kwa kuacha kazi kwa 24 hr notice na kurudisha mshahara wake wa mwezi mmoja na kwenda kwenye mashirika haya bila usumbufu wowote baadae???mfano mshahara kugongana.
 
nimeguswa sana na hii mada mana me ni mhanga. niliajiliwa na umma na kabla nilisha fanya usaili secretariet na nmepangiwa ajira mpya bac nmemfec ded kagoma kunisainia kwenda kwnye ajira mpya, so nmevurugwa sna hamu tena na cjui ntafanyeje wadau

Mkuu hii lowson ni kiboko ukishabugi ndio basi tena hakuna suluhisho. Kuna watu waliacha kazi bila kufahamu wameomba tena system hiyo imewakataa. Kuna mmoja kaamua kulima tu na masters yake ya procurement. Kwa kweli hiki ni kilio kisicho na mbembelezaji lowson lowson lowson umearibu maisha ya watu.
 
Mkuu waraka wa RECATEGORIZATION umebadilishwa kwa Waraka Na. 5{not so sure} but ni wa tarehe 1 Desemba 2009, mtumishi yeyote anapojiendeleza kada tofauti, anaweza kuajiriwa kwenye kada hiyo mpya kama mwajiriwa mpya na ataanza na mshahara wa kuingilia 'entry point' katika kada hiyo. Atahesabika kama mwajiriwa mpya na atapoteza haki zake zote katika kazi ya mwanzo yaan seniority yake na mshahara wake wa awali. So kama daktari anaajiriwa kwa Mshahara wa kuanzia let say lak5, na mwalimu huyu aliyebadilishiwa kazi/cheo alishafika let say lak 6, ataenda kuanza na mshahara wa laki 5 tena kama mwajiriwa mpya.
Pia kuna waraka{siukumbuki namba wala mwaka ila nina uhakika na maelezo nitakayotoa nitakapoupata nitatoa namba na mwaka for reference} ambao unatoa maelekezo kwa walimu wanaojiendeleza nje ya fani zao.
Mwalimu anaetaka kujiendeleza fani nyingine anatakiwa aombe likizo bila malipo kwa muda wote awapo masomoni na especially kama ni full time studies.
I concur with you mkuu, huo ndio the latest waraka!
 
GERRAD mimi nimemaliza MASTERS YA MANAGEMENT NINA BACHELOR PIA YA MANAGEMENT NIMESPECIALIZE KWENYE ORGANIZATIONAL MANAGEMENT NA HUKO NYUMA NILIKUA MWALIMU NA SASA NILIFANYIWA RECATEGOLIZATION NA KUA AFISA UTUMISHI NINA MWAKA TOKA NIPATE CHEO HIKI SASA NINACHOOMBA KUJUA ILI NIWE MKUU WA IDARA NATAKIWA NIWE NA UZOEFU WA MIAKA MINGAPI INGAWA HIYO AJIRA YA UALIMU NILIITUMIKIA KWA MIAKA 12
Cc Kipilipili
 
Mkuu WA idara lazima uwe na miaka saba kwenye fani husika LA sivyo itakua kaimu mpaka muda ufike.pia unakua Mkuu WA idara km hakuna MkuuwaWA idara na lazima upendekezwe ufanyiwe vetting na tamisemi wakubali navhalmashaur wakubali
Mbona mi Mkuu wa Idara ya History shulen kwangu na sijafikisha miaka saba wala kufanyiwa Vetting??
 
nimeguswa sana na hii mada mana me ni mhanga. niliajiliwa na umma na kabla nilisha fanya usaili secretariet na nmepangiwa ajira mpya bac nmemfec ded kagoma kunisainia kwenda kwnye ajira mpya, so nmevurugwa sna hamu tena na cjui ntafanyeje wadau
Pole mkuu
 
Mkuu waraka wa RECATEGORIZATION umebadilishwa kwa Waraka Na. 5{not so sure} but ni wa tarehe 1 Desemba 2009, mtumishi yeyote anapojiendeleza kada tofauti, anaweza kuajiriwa kwenye kada hiyo mpya kama mwajiriwa mpya na ataanza na mshahara wa kuingilia 'entry point' katika kada hiyo. Atahesabika kama mwajiriwa mpya na atapoteza haki zake zote katika kazi ya mwanzo yaan seniority yake na mshahara wake wa awali. So kama daktari anaajiriwa kwa Mshahara wa kuanzia let say lak5, na mwalimu huyu aliyebadilishiwa kazi/cheo alishafika let say lak 6, ataenda kuanza na mshahara wa laki 5 tena kama mwajiriwa mpya.
Pia kuna waraka{siukumbuki namba wala mwaka ila nina uhakika na maelezo nitakayotoa nitakapoupata nitatoa namba na mwaka for reference} ambao unatoa maelekezo kwa walimu wanaojiendeleza nje ya fani zao.
Mwalimu anaetaka kujiendeleza fani nyingine anatakiwa aombe likizo bila malipo kwa muda wote awapo masomoni na especially kama ni full time studies.
Hivi hii ni watumishi wote au walimu tu? Nahisi kwengine wanaruhusu ukapige kozi ingine. Sasa kwa nini sisi walimu tu ndo tulazimishwe kusoma ualimu hata PHD
 
Mkuu waraka wa RECATEGORIZATION umebadilishwa kwa Waraka Na. 5{not so sure} but ni wa tarehe 1 Desemba 2009, mtumishi yeyote anapojiendeleza kada tofauti, anaweza kuajiriwa kwenye kada hiyo mpya kama mwajiriwa mpya na ataanza na mshahara wa kuingilia 'entry point' katika kada hiyo. Atahesabika kama mwajiriwa mpya na atapoteza haki zake zote katika kazi ya mwanzo yaan seniority yake na mshahara wake wa awali. So kama daktari anaajiriwa kwa Mshahara wa kuanzia let say lak5, na mwalimu huyu aliyebadilishiwa kazi/cheo alishafika let say lak 6, ataenda kuanza na mshahara wa laki 5 tena kama mwajiriwa mpya.
Pia kuna waraka{siukumbuki namba wala mwaka ila nina uhakika na maelezo nitakayotoa nitakapoupata nitatoa namba na mwaka for reference} ambao unatoa maelekezo kwa walimu wanaojiendeleza nje ya fani zao.
Mwalimu anaetaka kujiendeleza fani nyingine anatakiwa aombe likizo bila malipo kwa muda wote awapo masomoni na especially kama ni full time studies.
Vipi mkuu ulishaupata waraka huu wa walimu kujiendeleza nje ya fani zao? Kama upo nauomba. Nimeusaka sijaupata.
 
Vipi kwa Yule aliyeajiriwa na cheti cha Degree lakini pia anacheti cha Master, je anaweza kusubiri miaka mitatu ili akitoe cheti cha Master ILI apande cheo?
 
Mmmmm.......nimefurahi sanaaa na hii topic!!! imenigusa patamu, nna diploma ya ualimu na nimeaajiriwa as tutor katika chuo cha ualimu!! Mwaka 2008 nilienda kulamba digrii na nimeipata hii ya B.A.ACCOUNTING AND FINANCE........... hadi bosi wangu mpyaaa aliniita na kunishangaaa... as still niko young man, with 30yrs of age. Wacha nipige timing by next year nikapige MBA, hapo nitajipanga nitoke au???? loooooohhhhhhhh
Ahhaa mkuu 30 bado unasema you are young.. Katika hiyo age nowdays wengi wanakalibia kupata PhD.. Kazana kufikia your dreams
 
Nakushukuru sana Gerard,umenisaidia kuliko unavyodhani! Kama unaamini katika Mungu naombea akuzidishie neema,asante sana!
Jamii forum kisima cha fikira yakinifu. Wenye uhitaji na hekima endeleeni kuitumia. Asante Gerard kwa kumjibu kwa ufasaha ndugu yetu. Sote tuige mfano wa Gerard tuache kebehi na dharau wenye uhitaji wakiomba msaada Kwetu!!!
 
Mkuu kilichotokea hapa kina maelezo. Bajeti ya upandishwaji madaraja hufanyika wakati wa PE mwezi Novemba, wakati bajeti inafanyika wewe bado ulikuwa ni Mwalimu Daraja la 3 ndio maana hata barua yako ya promotion imekutoa hapo kukupeleka daraja la pili.
Ila bado ofisi ya Mkurugenzi na ofisi ya TSD hazikwepi lawama kwa kutopitia tena taarifa zao kabla ya kuidhinisha upandaji wa madaraja.
Kwa case yako na kwa mujibu wa waraka wa ubadilishaji kazi/cheo {RECATEGORIZATION} kwa walimu uliotolewa 1/12/2009 wewe unahesabika kama A.E.Msaidizi kuanzia hiyo January 2011 ulipopewa barua ya recategorization, hvyo umehama kabisa kada uliyokuwepo na kuhamia nyingine na unatakiwa uanze na mshahara wa kuingilia yaan entry point ambao ni TGTS C, hata kama ulipokuwa Mwalimu Grade A, ungepanda mpaka kufikia E bado ungeanza na mshahara huo wa C, ila ungeendelea kupata mshahara wa E kama mshahara binafsi kwa kuwa bado upo kwenye ualimu. Na unastahili kupanda utakapotoka mwongozo wa kupandisha walimu walioajiriwa 2011, kubadilishiwa kazi/cheo au kupanda mara ya mwisho 2011 minimum 3yrs 2come.
Remember that hata kama ule mshahara wa Grade A, ungekuwa umefika E, baada ya hyo miaka 3 utapewa D.
Hao waliopanda na kupewa D baada ya kupata Diploma, kama walibadilishiwa kazi/cheo 2008 kurudi nyuma ni sahihi, otherwise ni makosa yamefanyika na ofisi ya Mwajiri au TSD walioidhinisha promotion hizo.
PE ni nini Mkuu. Naomba unifafanulie kwa kina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Muijibu wa waraka Na. 11 wa Mwaka 2002 baada ya kuijiendeleza kuna kitu kinaitwa RECATEGORIZATION (Kubadilishwa kazi/Cheo) hii inahusu watu walioiendelza fani za awali na waliobadilisha fani.

Kwa kuwa wewe umebadilisha fani ngoza nijikite huko. Kama unasoma huku unafanya kazi i.e kwa evening au umeenda kampus kwa kufuata taratibu za ruhusa hapa mshahara wako utaendelea ku flow ila kama ulitoroka mshahara utasimamishwa na utafunguliwa mashtaka (utalipwa nusus mshahara mpaka utakapokutwa na hatia ya utoro wa siku 5).

Baada ya kuhitimu kuna namna mbili> Ya kwanza toa taarifa kwa Mwajiri wako kuwa umehitmu na kupeleka academeic transcript. Kakam kuna nafasi kwa fani husika atakubadilishia majukumu au kazi kwenda kwenye fani husika kama ni daktari unaweza kupelekwa kwenye hospitali ya Wilaya husika (japo sina hakika kama zinamilikiwa na Halmashauri au Wizara ya Afya).

Namna ya pili ni kuomba kazi nyingine ukipata fuata taratibu pitisha maombi kwa mwajiri wako ukifuzu usaili na kuajiriwa utaondoka na haki zako zote ulizokuwa nazo kwenye Ualimu.

Kila la heri
Je, Taratibu za kufanyiwa Recategozation kama Ikama inaruhusu, bajeti imetengwa, umeshapewa na barua ya cheo kipya na umekikubali inakuhitaji pia KIBALI CHA KUAJIRIWA? ili Cheo kipya kiwe approved kwenye mfumo?
 
GERRAD mimi nimemaliza MASTERS YA MANAGEMENT NINA BACHELOR PIA YA MANAGEMENT NIMESPECIALIZE KWENYE ORGANIZATIONAL MANAGEMENT NA HUKO NYUMA NILIKUA MWALIMU NA SASA NILIFANYIWA RECATEGOLIZATION NA KUA AFISA UTUMISHI NINA MWAKA TOKA NIPATE CHEO HIKI SASA NINACHOOMBA KUJUA ILI NIWE MKUU WA IDARA NATAKIWA NIWE NA UZOEFU WA MIAKA MINGAPI INGAWA HIYO AJIRA YA UALIMU NILIITUMIKIA KWA MIAKA 12
Hongera kwa jitihada hizo
Kimsingi Mkuu wa Idara au Kitengo kama ntakuwa nimekuelewa vizuri hivyo ni vyeo vya Madaraka unaweza kufikiriwa kuvipata mpk utakapokuwa umepata usenior wa nafasi husika
 
Back
Top Bottom