Increment na madaraja ni vitu viwili tofauti. Increment ni nyongeza ya kila mwaka yaani kila tarehe 1 Julai unatoka ngazi kidato kimoja kwenda kingine mfano TGTS C1 kwenda TGTS C 2. Hii hufanyika kama hakuna nyongeza ya mshahara. Kupandfisa daraja (Promotion) ni kutoka level/ ngazi moja ya mshahara kwenda nyingine mfano kutoka Afisa Elimu Msaidizi III (AEMIII) TGTS C kwenda AEMII TGTS D. Hii ni kati ya miaka mitatu hadi mitano tangu uanze kazi au last promotion.Kweli jf tunatisha kwa knowledge anuwai. kaka gerrad kwanini waajili wengine hawabadili increment za mshahara kwa wakati?
yaani ni vigezo gani vinatumika kupandisha madaraja ya mshahara?? Are they open ???
Increment na madaraja ni vitu viwili tofauti. Increment ni nyongeza ya kila mwaka yaani kila tarehe 1 Julai unatoka ngazi kidato kimoja kwenda kingine mfano TGTS C1 kwenda TGTS C 2. Hii hufanyika kama hakuna nyongeza ya mshahara. Kupandfisa daraja (Promotion) ni kutoka level/ ngazi moja ya mshahara kwenda nyingine mfano kutoka Afisa Elimu Msaidizi III (AEMIII) TGTS C kwenda AEMII TGTS D. Hii ni kati ya miaka mitatu hadi mitano tangu uanze kazi au last promotion.
Sababu zinazochelewesha kuanda daraja zipo nyingi mfano kutokuwa na TSD Na, kuchelewesha vyeti/ kujaza mikataba ya ajira, kuhama toka wilaya moja kwenda nyingine hivyo kupoteza taarifa, kutokuwepo kwenye mapendekezo ya mwajiri, matatizo ya kinidhamu kama utoro n.k, poor performance, uzembe wa ofisi kutotunza kumbukumbu, uhaba wa bajeti (kasungura kadogo) na nyingine zinazofanana na hizo. Lakini unatakiwa kupewa promotio
KAKA NISAIDIE HII POSS 4 NI KIASI GANI CHA MSHAHARA,UHUDUMU WA OFISI CHUONI

Dah hii topic ndo yenyewe!Wakuu vp mtu aliyeko kazini akaomba kazi sehemu nyingine na kupata lakini bosi akagoma kumruhusu kuhama!Mtu huyu ana haki gani?
na inakuwaje pale mtumishi anaposomea kada yake,haki zake ni zipi baada ya kuhitimu masomo? mfano mtumishi mwenye stashahada ya mifugo anapoenda kusomea shahada ya mifugo?
Kwa Muijibu wa waraka Na. 11 wa Mwaka 2002 baada ya kuijiendeleza kuna kitu kinaitwa RECATEGORIZATION (Kubadilishwa kazi/Cheo) hii inahusu watu walioiendelza fani za awali na waliobadilisha fani.
Kwa kuwa wewe umebadilisha fani ngoza nijikite huko. Kama unasoma huku unafanya kazi i.e kwa evening au umeenda kampus kwa kufuata taratibu za ruhusa hapa mshahara wako utaendelea ku flow ila kama ulitoroka mshahara utasimamishwa na utafunguliwa mashtaka (utalipwa nusus mshahara mpaka utakapokutwa na hatia ya utoro wa siku 5).
Baada ya kuhitimu kuna namna mbili> Ya kwanza toa taarifa kwa Mwajiri wako kuwa umehitmu na kupeleka academeic transcript. Kakam kuna nafasi kwa fani husika atakubadilishia majukumu au kazi kwenda kwenye fani husika kama ni daktari unaweza kupelekwa kwenye hospitali ya Wilaya husika (japo sina hakika kama zinamilikiwa na Halmashauri au Wizara ya Afya).
Namna ya pili ni kuomba kazi nyingine ukipata fuata taratibu pitisha maombi kwa mwajiri wako ukifuzu usaili na kuajiriwa utaondoka na haki zako zote ulizokuwa nazo kwenye Ualimu.
Kila la heri
Mkuu WA idara lazima uwe na miaka saba kwenye fani husika LA sivyo itakua kaimu mpaka muda ufike.pia unakua Mkuu WA idara km hakuna MkuuwaWA idara na lazima upendekezwe ufanyiwe vetting na tamisemi wakubali navhalmashaur wakubali
Kuhama Si haki yako ndo mama ukihamishwa unalipwa na ukijiamisha aulipwi na unapojiamisha mwajili anakataa au kukubali kutokana na idad ya watu alokua nao na mahitaji ndo mana wengine wanabadilishana.pia unaweza kuacha kazi Massa 24 na kutoa mshahara WA nwezi au taarifabya miwzi mitatu.ilibuende utakako.km kila MTU akitaka kuhama na ni haki yake has baadh ya sehem zisingekua na watumishi kabisa.saw a saw a na likizo mwajili anaweza kuzuia au kusogeza mbele likizovyakobya mwaka kwa malipo au makubaliano flan flan
HApa napo patamu, kwa mfumo wa sasa ukiacha kazi masaa 24 serikalini ili uende ukaanze upya ajira yako mahali ulipopata lowsone or whatever they call it inakutambua bado kama mtumishi ulie kwenye payroll hivyo huwezi kualipwa mshahara au kuingizwa kwenye payroll. Hii imekuwa taabu kweli, kuna jamaa yangu aliacha kazi 24 hrs sasa hivi anahaha ili arudi kazini maana ajira mpya imekwamia utumishi!Hili likoje kisheria??Kuhama Si haki yako ndo mama ukihamishwa unalipwa na ukijiamisha aulipwi na unapojiamisha mwajili anakataa au kukubali kutokana na idad ya watu alokua nao na mahitaji ndo mana wengine wanabadilishana.pia unaweza kuacha kazi Massa 24 na kutoa mshahara WA nwezi au taarifabya miwzi mitatu.ilibuende utakako.km kila MTU akitaka kuhama na ni haki yake has baadh ya sehem zisingekua na watumishi kabisa.saw a saw a na likizo mwajili anaweza kuzuia au kusogeza mbele likizovyakobya mwaka kwa malipo au makubaliano flan flan
nimeguswa sana na hii mada mana me ni mhanga. niliajiliwa na umma na kabla nilisha fanya usaili secretariet na nmepangiwa ajira mpya bac nmemfec ded kagoma kunisainia kwenda kwnye ajira mpya, so nmevurugwa sna hamu tena na cjui ntafanyeje wadauHApa napo patamu, kwa mfumo wa sasa ukiacha kazi masaa 24 serikalini ili uende ukaanze upya ajira yako mahali ulipopata lowsone or whatever they call it inakutambua bado kama mtumishi ulie kwenye payroll hivyo huwezi kualipwa mshahara au kuingizwa kwenye payroll. Hii imekuwa taabu kweli, kuna jamaa yangu aliacha kazi 24 hrs sasa hivi anahaha ili arudi kazini maana ajira mpya imekwamia utumishi!Hili likoje kisheria??