Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,417
- 7,608
Ugonjwa huu umeleta wakati wa mpito, baada ya ugonjwa huu kupita kuna huduma nyingi zitakuwa zimebadilika hasa biashara zitakuwa za online, kutumia kadi au mfumo wa kutumia simu zaidi badala ya kubeba cash.Usharika wangu wa nyumbani wanafanya hivyo tangu hii kitu imeanza.
Ila huu ugonjwa ni kipimo tosha Cha Imani.
Hapa Mungu anapata kazi rahisi sana kutambua wale waumini maslahi na halisi.
Yaani kipimo kidogo tu kwisha habari yake.