Mwongozo wa kufungua blog

alvin1995

Member
Nov 1, 2016
34
12
Habar za umu mi mwanafunz wa mwaka wa kwanza IT sasa nna mpango wa kufungua blog kwa ajili ya kushare idea km vile
1. Kutengeneza video games
2. Kuelekeza programming
3. Hacking tutorials
Na michezo mingine inyo husiana
Sasa nlikuo naomba ushauri je nkifungua blog yangu au website ni lugha gani nitumie kiswahili ama kimombo ili nifikie wengi naombeni ushauri

Pia na jinsi ya ku monetize ila hela cjaipa kipaumbele kikubwa blog nzuri kwanza
 
Subiri ujifunze vitu vizuri darasani halafu uje ugundue na wewe.

Soma uelimike usitarajie kuwa msomi halafu unatafuta msaada kama huo.
 
Subiri ujifunze vitu vizuri darasani halafu uje ugundue na wewe.

Soma uelimike usitarajie kuwa msomi halafu unatafuta msaada kama huo.

Unaweza kutumia lugha yeyote. Uzuri content ya blog yako nitakuwezesha kuvutia wasomaji watako tembelea blog yako. Maudhui na idadi ya watembeleaji ni vitu vya kwanza, fedha baadae.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom