Mwongozo wa kudeal na Cheatting Partner/Husband! The Must Dos incase huondoki/humuachi!

Eti mwaJ huna mdogo wako ambaye anafaa kuwa msiri wangu.

Usisahau mi na Kaizer ni ndugu, yapendeza tuwe na wasiri ndugu.

Hebu do the needful basi...

Usihofu Asprin nakupa mdogo wangu Binti.com huyo naamini anaweza kuwa msiri wako mzuri tu. Akileta shida niambie nikupe mwingine. Unajua nina wadogo wengi.
 
Last edited by a moderator:
Usihofu Asprin nakupa mdogo wangu Binti.com huyo naamini anaweza kuwa msiri wako mzuri tu. Akileta shida niambie nikupe mwingine. Unajua nina wadogo wengi.
Khaaa! Huyo ataendana na mimi kweli? Mbona jina la kifesibuku hilo?

Ila neno lako ni amri yangu, hebu mwambie akuje pande hii.
 
Sorry da MwaJ, Asprin hatutawezana maana umri wake umekwenda, ya nini kufiwa na kibabu cha watu kifuani??!!
Eti mwaJ hebu ukuje hapa unifumbue fumbo....

Hivi usiri una uhusiano na kufia kifuani? Kwahiyo hommie wangu Kaizer anafanya siri na wewe kwenye kifua chako?

Mwongozo wako tafadhali kabla sijamalizana na Binti.com
 
Last edited by a moderator:
Sorry da MwaJ, Asprin hatutawezana maana umri wake umekwenda, ya nini kufiwa na kibabu cha watu kifuani??!!

Unaona sasa? Nyie wadogo zangu tatizo lenu huwa hamuelewi! Wewe unakuwa msiri wake tu. Mie nafahamu kuwa babu Asprin ana wake zake 3 nao ni cacico, BADILI TABIA na wenzao nanihii chini ya uangalizi wa Kongosho. Sasa wewe unakuwa msiri wake tu yaani unamtunzia siri zake. Usikubali majukumu mengine, hayo waachie wakeze! Ndio maana mie na AshaDii hatukosani ati! Au sio Kaizer?
 
Last edited by a moderator:
Eti mwaJ hebu ukuje hapa unifumbue fumbo....

Hivi usiri una uhusiano na kufia kifuani? Kwahiyo hommie wangu Kaizer anafanya siri na wewe kwenye kifua chako?

Mwongozo wako tafadhali kabla sijamalizana na Binti.com

Hapana Asprin, ndio maana nimemfafanulia huyu dogo Binti.com ili aweze kuelewa. Akielewa itakuwa poa vinginevyo nadhani nimechagua mdogo mno. Itabidi nifikirie kukupa dadake i.e., mdogo wangu wa tano kuzaliwa. Binti.com yeye ni wa saba nikadhani atakuwa ameshaanza kuelewa maisha.
 
Last edited by a moderator:
Unaona sasa? Nyie wadogo zangu tatizo lenu huwa hamuelewi! Wewe unakuwa msiri wake tu. Mie nafahamu kuwa babu Asprin ana wake zake 3 nao ni cacico, BADILI TABIA na wenzao nanihii chini ya uangalizi wa Kongosho. Sasa wewe unakuwa msiri wake tu yaani unamtunzia siri zake. Usikubali majukumu mengine, hayo waachie wakeze! Ndio maana mie na AshaDii hatukosani ati! Au sio Kaizer?
Umeona eh?

Huyu anaweza kutunza siri nzito za babu kweli?
 
Unaona sasa? Nyie wadogo zangu tatizo lenu huwa hamuelewi! Wewe unakuwa msiri wake tu. Mie nafahamu kuwa babu Asprin ana wake zake 3 nao ni cacico, BADILI TABIA na wenzao nanihii chini ya uangalizi wa Kongosho. Sasa wewe unakuwa msiri wake tu yaani unamtunzia siri zake. Usikubali majukumu mengine, hayo waachie wakeze! Ndio maana mie na AshaDii hatukosani ati! Au sio Kaizer?

Swadaktaaaa msiri wangu mwaJ! Naona mdogo mtu hajui kutubza siri! Hahaha
 
Last edited by a moderator:
Hatimaye umefufuka kama ulivyosema!

Ningeshangaa huu uzi upite bila kusoma comment yako.

Baada ya kusema hayo, binamu tuna nini mimi na wewe? Haikupasi kunifanyia haya!

Hahaha hommie Asprin hata mi ningeshangaa aisee
 
Last edited by a moderator:
Wakubwa zangu Shikamooni!

Peopleeeeeeeeeeeess!!!!!!!!!!!

Jamani haya mambo ya cheating yamegeuka wimbo wa Taifa jamani!!!!!! All i hear is Cheating, cheating cheating and more cheating!!!! Mpaka naogopa kupokea simu za wadada walioolewa kidogo tu utasikia My Husband is Cheating!!!!! Na vilio na drama za kutosha!

Ukweli ni kwamba kataa, kubali haya mambo yapo sana! Na ni very UNFAIR! Bt what can a sister DO! Leave his A.S.S with 3 kids!!!, all going to school!!!! Hell No! Where would ya take ya black A.s.s? No body is gonna marry you again! at least not any time soon with three kids needing taken care of! You gotta stay back n fight!

"Stay back!!!!!! With the same skimming, Lying, shameless excuse of a husband??????" Yes with the very same!!!!!! You used to call him honey not long ago!!!! Not because you want to, but because YOU HAVE TO!!!!!!! Come to think of it where will you get a Non Cheatting Brother? Si hapa bongo kwa kweli! Utaruka mkojo na kutua kwenye NNYA! I Aint sayin you should stay and DO NOTHIN about his cheatting As.s!!!!!! Hell No! Stay and Take care of the problem! Running will get you no where!!! MAKE SURE HE DOESNT CHEAT AGAIN!!!! AT LEAST NOT LUXURIOUSLY AND COMFORTABLY!!!!!

When you catch him/ Find enough convicting evidence what you should do!!!!!!!!

1. Dont decide if your are divorcing him or staying for at least a week! Usifanye maamuzi magumu ukiwa na hasiraaa, utapata hasara we nyuti tu, huku ukishushia na Amarula au Dompo bariiida!!!! Jikaze kweli kweli! Manake ukute anataka kukuacha sasa ukimtimua unamrahisishia plus inakuwa wewe ndo umevunja ndoa!!!!

2.Dont Ask him Why he did it? Atakudanganya zaidi tu kujijustfy! Jst tell him Nimejua uozo wako wote!!!!Over! (Dont forget to enjoy the shock look in his face)

3.Dont Ask him with who he was cheatin you wit!!! Ukikuta mtu wa ovyo kama beki tatu/baa medi utajidharau zaidi na kuchefuka kabisaaa, na ukikuta dada la haja woga utakuingia juu ya uwezekano wa kunyanganywa jumlaaaa! What you dont know cant kill you! Can it?

4.Omba chochote utakacho kabla mambo hayajapoa!!! Inataka roho ya paka,najua umefura ndio ila kama unajua hapo huondoki, na sooner or letter utamsamehe, bora ubaki in Style!!! Agiza Gari hata vitz kama unapand dala, dai watoto wapelekwe international, kiwanja! Najua haitoshi kurepea damage ila inasaidia KUMUUMIZA NA YEYE coz anajua ITS BLACK FEMAKE/BLACKMAIL, Trust me, He will BUY YOU SOONER!!!!!! Na ukimsamehe eventually THE BMW STAYS WITH YOU OFCOURSE!!!!!!! Next time atakuwa muangalifu, kama hii gari limemtoka, mara ya pili nyumba kabisaaaa!!!!

5.Crucfy his As!!!! Mtangazie uozo wake kwa watu wenu wa karibu wote!!! Mama yake, Paroko/ Mchungaji(A brother cant even kukomunika in peace jinsi padri anavomkata jicho la hujachakachua kweli au unapoke tuu!), Kaka zake, Wasimamizi wa ndoa. Yani hakikisha hakai kwa amani! Akijua 90% ya watu wanaomuheshimu wamejua uozo wake atabadilika coz his reputation is at stake! (Waambie watu wa karibu tuuuu, si vinginevo utajiaibisha zaidi!)

6.Toa vigezo na masharti makali ili umsamehe, likiwemo la kukagua simu, kushika ATM, kurudi saa moja! N.k Lazima akubaliane ili asamehewe. Hata yakiisha VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA!!!!!!!!!

7. Renovate your self, Ukishaona moshi uje moto hauko mbali, loose the weight, tibu chunusi hizo, sukua vitu vya uhakika, badili wardrobe, jirudishe enzi za mwalimu, hadi akikuona unavowaka anawaza kweli nikiache hichi chuma kwa lile gogo, hell No!!!!

8. Jipange kiuchumi!!! Ukishaona dalili za mvua, anza kujenga na kuinvest kivyako vyako, Akili kumkichwa, honey moon is over its hard ball now! Ukizubaa utatupiwa nguo na wanao nje!!!!!!! Alarm zilishaanza kulia!

Tutaendelea na course ya HOW TO RECOVER N BUILD TRUST ONCE MORE!!!!!!!!!

Hivi wanawake wako salama kwenye CHEATING? Mifano inaweza kuwa nyingi kwa wanawake wanaosalitiwa ila mind you dunia ya sasa wanawake wengi wanasaliti ndoa zao pia ila tatizo wanaume wanakufa na Tai Shingoni....Hapa kuna shida kwelix2
 
Well said girlfriend, we let them get away with it easily that's why they keep doing it over and over again. Why subject your self to such unhealthy life? Teach him a lesson, if it does nt click unamchapisha lapa. LOL!
 
Mwenzio akinyolewa zako tia maji!!!!!!!!!!

lol! Mwenzio akinyolewa watia mafuta bibie! Ili usinyoleke! Na kwa maana hiyo all men, i mean all black arsed men do cheat! Kabla hujapata evidence apply Natalia style, chop chop kidogo kidogo lakini. I mean, how can you trust a man(i am serious, i dont even trust the pope himself sorry believers!!!)
Saa zingine una akili sana wewe, acha mibhange!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom