Mwongozo wa kudeal na Cheatting Partner/Husband! The Must Dos incase huondoki/humuachi!

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
29,049
Wakubwa zangu Shikamooni!

Peopleeeeeeeeeeeess!!!!!!!!!!!

Jamani haya mambo ya cheating yamegeuka wimbo wa Taifa jamani!!!!!! All i hear is Cheating, cheating cheating and more cheating!!!! Mpaka naogopa kupokea simu za wadada walioolewa kidogo tu utasikia My Husband is Cheating!!!!! Na vilio na drama za kutosha!

Ukweli ni kwamba kataa, kubali haya mambo yapo sana! Na ni very UNFAIR! Bt what can a sister DO! Leave his A.S.S with 3 kids!!!, all going to school!!!! Hell No! Where would ya take ya black A.s.s? No body is gonna marry you again! at least not any time soon with three kids needing taken care of! You gotta stay back n fight!

"Stay back!!!!!! With the same skimming, Lying, shameless excuse of a husband??????" Yes with the very same!!!!!! You used to call him honey not long ago!!!! Not because you want to, but because YOU HAVE TO!!!!!!! Come to think of it where will you get a Non Cheatting Brother? Si hapa bongo kwa kweli! Utaruka mkojo na kutua kwenye NNYA! I Aint sayin you should stay and DO NOTHIN about his cheatting As.s!!!!!! Hell No! Stay and Take care of the problem! Running will get you no where!!! MAKE SURE HE DOESNT CHEAT AGAIN!!!! AT LEAST NOT LUXURIOUSLY AND COMFORTABLY!!!!!

When you catch him/ Find enough convicting evidence what you should do!!!!!!!!

1. Dont decide if your are divorcing him or staying for at least a week! Usifanye maamuzi magumu ukiwa na hasiraaa, utapata hasara we nyuti tu, huku ukishushia na Amarula au Dompo bariiida!!!! Jikaze kweli kweli! Manake ukute anataka kukuacha sasa ukimtimua unamrahisishia plus inakuwa wewe ndo umevunja ndoa!!!!

2.Dont Ask him Why he did it? Atakudanganya zaidi tu kujijustfy! Jst tell him Nimejua uozo wako wote!!!!Over! (Dont forget to enjoy the shock look in his face)

3.Dont Ask him with who he was cheatin you wit!!! Ukikuta mtu wa ovyo kama beki tatu/baa medi utajidharau zaidi na kuchefuka kabisaaa, na ukikuta dada la haja woga utakuingia juu ya uwezekano wa kunyanganywa jumlaaaa! What you dont know cant kill you! Can it?

4.Omba chochote utakacho kabla mambo hayajapoa!!! Inataka roho ya paka,najua umefura ndio ila kama unajua hapo huondoki, na sooner or letter utamsamehe, bora ubaki in Style!!! Agiza Gari hata vitz kama unapand dala, dai watoto wapelekwe international, kiwanja! Najua haitoshi kurepea damage ila inasaidia KUMUUMIZA NA YEYE coz anajua ITS BLACK FEMAKE/BLACKMAIL, Trust me, He will BUY YOU SOONER!!!!!! Na ukimsamehe eventually THE BMW STAYS WITH YOU OFCOURSE!!!!!!! Next time atakuwa muangalifu, kama hii gari limemtoka, mara ya pili nyumba kabisaaaa!!!!

5.Crucfy his As!!!! Mtangazie uozo wake kwa watu wenu wa karibu wote!!! Mama yake, Paroko/ Mchungaji(A brother cant even kukomunika in peace jinsi padri anavomkata jicho la hujachakachua kweli au unapoke tuu!), Kaka zake, Wasimamizi wa ndoa. Yani hakikisha hakai kwa amani! Akijua 90% ya watu wanaomuheshimu wamejua uozo wake atabadilika coz his reputation is at stake! (Waambie watu wa karibu tuuuu, si vinginevo utajiaibisha zaidi!)

6.Toa vigezo na masharti makali ili umsamehe, likiwemo la kukagua simu, kushika ATM, kurudi saa moja! N.k Lazima akubaliane ili asamehewe. Hata yakiisha VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA!!!!!!!!!

7. Renovate your self, Ukishaona moshi uje moto hauko mbali, loose the weight, tibu chunusi hizo, sukua vitu vya uhakika, badili wardrobe, jirudishe enzi za mwalimu, hadi akikuona unavowaka anawaza kweli nikiache hichi chuma kwa lile gogo, hell No!!!!

8. Jipange kiuchumi!!! Ukishaona dalili za mvua, anza kujenga na kuinvest kivyako vyako, Akili kumkichwa, honey moon is over its hard ball now! Ukizubaa utatupiwa nguo na wanao nje!!!!!!! Alarm zilishaanza kulia!

Tutaendelea na course ya HOW TO RECOVER N BUILD TRUST ONCE MORE!!!!!!!!!
 
Heart

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
2,674
1,693
Mmmh... kwenye number 4 hapo inategemea na yeye hali yake kiuchumi ikoje,nikamjambishe kuninunulia vitz wkt hata uwezo wa bajaj hana...itakuwa vp hapo??!!
Kwenye numba 6 pia inategemea aina ya mwanaume uliye naye,mwimgine hizo habari za 'Vigezo na Masharti...' anaona ni kufuatana ki.m.a.t.a.k.o m.a.t.a.k.o bila sababu..yaan afanye yote hayo sababu ya K aaaaaah..atakimbia...
 
BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
32,771
23,036
akichiti nikajua naangusha segere hakuna cha kulimeza wala nini kama vipi atahama yeye mie ndani sitoki hata kwa greda.....

Napita mie jamani nilikuwa nawasalimu tu hapo juu
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,774
6,527

mmmmhh hii comment ni balaa hasa hapo kwenye vidoti kampuni..
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
29,049
Mmmh... kwenye number 4 hapo inategemea na yeye hali yake kiuchumi ikoje,nikamjambishe kuninunulia vitz wkt hata uwezo wa bajaj hana...itakuwa vp hapo??!!
Kwenye numba 6 pia inategemea aina ya mwanaume uliye naye,mwimgine hizo habari za 'Vigezo na Masharti...' anaona ni kufuatana ki.m.a.t.a.k.o m.a.t.a.k.o bila sababu..yaan afanye yote hayo sababu ya K aaaaaah..atakimbia...

Hahahaaaaa! Kama hana uwezo omba hata Baiskeli!!!!!!! Namba 6 kama BF usiweke coz its not serious ila kama Mumeo!!!!!! Inauma sanaaaaaa! Tena Ugumu wa vigezo inabidi uongezwe!!!!!!!! Ukiachilia mwanya tu cheatting inaendelea kama kazi tu!!!
 
kalou

JF-Expert Member
Aug 22, 2009
4,972
3,796
Ushauri mzuri kama huyo mwanamume bado anajali kuhusu hiyo ndoa...ila kama ndo ameshajivua gamba hapo vya kufanya ni viwili tu,
1.hakikisha mr.husband anavaa ndomu wakati wa tendo
2.jipange financial ili uondoke
..,hayo mengine muachie lara1
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,774
6,527
akichiti nikajua naangusha segere hakuna cha kulimeza wala nini kama vipi atahama yeye mie ndani sitoki hata kwa greda.....

Napita mie jamani nilikuwa nawasalimu tu hapo juu

wazo lako hilo wapo waliofikiria hivo lakini wakachemka mwishoni...
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
29,049
akichiti nikajua naangusha segere hakuna cha kulimeza wala nini kama vipi atahama yeye mie ndani sitoki hata kwa greda.....

Napita mie jamani nilikuwa nawasalimu tu hapo juu

Hahahaaaaa sasa segre si ndo atakumezesha matango kujitetea!!!!!! Atakupooza poza afu soo limeisha kiulani, wala hajuti chochote coz alijua ukimbamba lazima urelease SINGLE mpyaa kama si ALBUM kabisaa, ila ukinyuti hajui unawaza nini?
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
29,049
Ushauri mzuri kama huyo mwanamume bado anajali kuhusu hiyo ndoa...ila kama ndo ameshajivua gamba hapo vya kufanya ni viwili tu,
1.hakikisha mr.husband anavaa ndomu wakati wa tendo
2.jipange financial ili uondoke
..,hayo mengine muachie lara1

Sasa akivaa Ndomu ndo ataacha au kujutia matendo yake? Tena atajitanua kwenye cheatting coz anajua umejua na hujafanya chochote!!!!!!! Wanaume wanakutega, akiona mwepesi anamleta hata hawara ndani mwako!!!!!!!!! Weeeeeeee!!!!
 
Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,249
11,522
akichiti nikajua naangusha segere hakuna cha kulimeza wala nini kama vipi atahama yeye mie ndani sitoki hata kwa greda.....

Napita mie jamani nilikuwa nawasalimu tu hapo juu

Wanaume wa kweli hatucheat hata siku moja. Hata ukipitiwa unafanya kukopa tu!

Ila ukiona dume sima linacheat hadi mke anajua basi huyo alighushi sifa za kuwa husband!
 
Heart

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
2,674
1,693
Sasa akivaa Ndomu ndo ataacha au kujutia matendo yake? Tena atajitanua kwenye cheatting coz anajua umejua na hujafanya chochote!!!!!!! Wanaume wanakutega, akiona mwepesi anamleta hata hawara ndani mwako!!!!!!!!! Weeeeeeee!!!!

Tena hawara analazwa kitandani wewe unalazwa sakafuni..mwisho wa siku unaacha nyumba huku unaitaka.
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
29,049
Wanaume wa kweli hatucheat hata siku moja. Hata ukipitiwa unafanya kukopa tu!

Ila ukiona dume sima linacheat hadi mke anajua basi huyo alighushi sifa za kuwa husband!

Hahaaaaaa! Babu huajapata mke fukunyuku kama mimi!!! Shukuru bibi ni wa kale!!!!!! Hadi lunch nakuja kujibanza mitaa ya ofisi yenu nijue wala wapi? Acha wapelezi niliowaweka ofisini.
 
Heart

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
2,674
1,693
Hahahaaaaa! Kama hana uwezo omba hata Baiskeli!!!!!!! Namba 6 kama BF usiweke coz its not serious ila kama Mumeo!!!!!! Inauma sanaaaaaa! Tena Ugumu wa vigezo inabidi uongezwe!!!!!!!! Ukiachilia mwanya tu cheatting inaendelea kama kazi tu!!!

Kama vigezo ntamuwekea tu vingine...vigezo vya material things anaweza akaninunulia kisha siku tumezinguana tena ataninyang'anya kisha akampe mwenzangu..ama atauza kabisa..
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
29,049
Tena hawara analazwa kitandani wewe unalazwa sakafuni..mwisho wa siku unaacha nyumba huku unaitaka.

Afu ukiondoka mijitu haiachi kuropoka!!!!!! Mwanamke hovyoo kweli yule, mwaka tuuuu ndo ishamshindaaa!!!!!!! Ona anavyohangaika na mwanae! Sio mvumilivu kabisaaa! Ndoa za saivi za kichina!!!!!! Kosa afanye mwengine, zigo la lawama abebe mwengineee!
 
Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,335
Wanaume wa kweli hatucheat hata siku moja. Hata ukipitiwa unafanya kukopa tu!

Ila ukiona dume sima linacheat hadi mke anajua basi huyo alighushi sifa za kuwa husband!

We kweli ni mkali aisee, kwa hiyo mkuu wewe kumbe hodari wa ku cheat na hukamatwi eh..........!
 
Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
2,512
hahahahahahahahah shosti cheating unakuuma eeeh????? mbona kawaida sana, miye siamini kuna mwanaume hachiti so to me its normal.........ndo habari ya mujini kwa sasa
Hahahaaaaa! Kama hana uwezo omba hata Baiskeli!!!!!!! Namba 6 kama BF usiweke coz its not serious ila kama Mumeo!!!!!! Inauma sanaaaaaa! Tena Ugumu wa vigezo inabidi uongezwe!!!!!!!! Ukiachilia mwanya tu cheatting inaendelea kama kazi tu!!!
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
29,049
Kama vigezo ntamuwekea tu vingine...vigezo vya material things anaweza akaninunulia kisha siku tumezinguana tena ataninyang'anya kisha akampe mwenzangu..ama atauza kabisa..

Hahahaaaaaaa! Heart kweli una moyo!!!!! Aaanzie wapi kukunyanyanganya? Mkizinguana unaagiza vingine!!!!! Vigezo QUALITATIVE ni danganya kubwa! Atakuhadaa kabadilika siku mbili tatu afu mwendo mdundo!!!!!! But the BMW doent lie!!! Kitu kimepaki, kadi unalo kwenye pochi, akampe nani? Unampeleka polisi!!!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

11 Reactions
Reply
Top Bottom