Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
Juzi nilisikiliza kongamano la katiba kwa NGOs wengi walidai muda hautoshi.Mimi nasema tukubali mchakato uendelee lakini tukomae na TUME HURU YA UCHAGUZI.Baada ya uchaguzi kama tutafanikiwa kuingiza madarakani watu makini tutapata muda wa kuwasimamia na kuwaambie tuandike tena upya hata kama gharama zitakuwa kubwa potelea mbali kwani tutakuwa;
Nawashauri tusikate tamaa, tujiandae kuikubali katiba japo hata ikiwa nzuri kwa 75% yatosha ili mradi kieleweke kuhusu TUME HURU YA UCHAGUZI.CCM kwa sasa wamegundua kuwa huenda JAJI WARIOBA AKAFANYA KWELI KUTOKANA NA SHINIKIZO LA NGUVU YA UMMA.
Maoni yangu hayo, lete yako tujenge
- TUMEZIKA UFISADI kwa kuweka serikali mpya,
- Mapato yataongezeka na hivyo kuwa na ziada itakayotufanya kuandika katiba kwa utaratibu unaofaa pasiba kukimbizana kama sasa
- Tutakuwa tumepata serikali sikivu na yenye kujali kuliko kuendelea na nyinyiem