Mwongozo wa bodi ya mikopo kwa hela ya malazi ya mwanafunzi ikiingia Account ya chuo

msomso

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
464
152
Ndugu wanajamvi,Naombeni kujuzwa chuo chetu imeingia Hela ya Heslb tangu Tarehe 26 mwezi huu kwenye Account ya chuo.

Ndugu wanajamvi hiii pesa ni yangu ambayo ilienda chuo kingine na nilichohamia.

Ndugu zangu mimi niliisaini tangu tarehe 18.05.2016 loan officer wa chuo namuuliza ananiambia feza ikiingia akaunti ya chuo ndani ya siku saba za kazi inatakiwa niwe nimelipwa Je ni sahihi.

NB ;Hela hii ilitolewa na Bodi kwa cheki ya CRDB kubadili kuleta NMB ,jamaa anajitetea chuo kina Account ya NMB inachukua muda wakuu kifupi Mimi nimeisaini tangu Tarehe 18 naombeni elimu nitumbue jipu hili.
 
Wakuuuu nielimisheni kuwa tangu usaini pesa ya Bodi iliyotolewa kwa cheki ni mda gani unatakiwa uipate?Natanguliza shukrani za zati
 
Ndugu wanajamvi,Naombeni kujuzwa chuo chetu imeingia Hela ya Heslb tangu Tarehe 26 mwezi huu kwenye Account ya chuo.

Ndugu wanajamvi hiii pesa ni yangu ambayo ilienda chuo kingine na nilichohamia.

Ndugu zangu mimi niliisaini tangu tarehe 18.05.2016 loan officer wa chuo namuuliza ananiambia feza ikiingia akaunti ya chuo ndani ya siku saba za kazi inatakiwa niwe nimelipwa Je ni sahihi.

NB ;Hela hii ilitolewa na Bodi kwa cheki ya CRDB kubadili kuleta NMB ,jamaa anajitetea chuo kina Account ya NMB inachukua muda wakuu kifupi Mimi nimeisaini tangu Tarehe 18 naombeni elimu nitumbue jipu hili.

Mwezi huu tarehe 26 bado hatujaifikia ndio kwanza tunauanza mwezi. Anyway, cha kushukuru ni kwamba hiyo hela imefika chuoni ulipo kwa sasa. Tarehe 26/5 mpaka Leo ni siku 4 za kazi ukiondoa weekend (2 days). Endelea kumsumbua loan officer japo inaweza kukuchukua hadi wiki mbili kuipata, lakini kama umehakikishiwa hela yako imefika kuwa mvumilivu.
 
Mkuuu naomba ufafanuzi wa pesa ikitolewa kwa cheki kwa mwanafunzi ya Heslb
 
HESLB siku zote hutuma cheki chuoni pamoja na list ya majina ya wanaostaili kulipwa, then mhasibu wa chuo ni jukumu lake kuhakikisha kila mwanachuo analipwa kupitia account yake.
 
Mkuuu kama muhasibu alipewa cheki tangu Tarehe 18 mwezi wa tano kunahaja ya mwanafunzi kutosaini hela mpaka sasa.
 
Ndugu wanajamvi,Naombeni kujuzwa chuo chetu imeingia Hela ya Heslb tangu Tarehe 26 mwezi huu kwenye Account ya chuo.

Ndugu wanajamvi hiii pesa ni yangu ambayo ilienda chuo kingine na nilichohamia.

Ndugu zangu mimi niliisaini tangu tarehe 18.05.2016 loan officer wa chuo namuuliza ananiambia feza ikiingia akaunti ya chuo ndani ya siku saba za kazi inatakiwa niwe nimelipwa Je ni sahihi.

NB ;Hela hii ilitolewa na Bodi kwa cheki ya CRDB kubadili kuleta NMB ,jamaa anajitetea chuo kina Account ya NMB inachukua muda wakuu kifupi Mimi nimeisaini tangu Tarehe 18 naombeni elimu nitumbue jipu hili.
Du noma noma, m naomba kuuliza.. Ivi ile ela ya mills & accomodation, 8500/= n lazma kwa kila mwanachuo au??

Unapopat chini ya 100% iyo ela iliyopungua inakua kweny ada au ndo kweny pesa y kujikimu? Natk nifahamishwe hpo izo calculation zmekaaje
 
Mara nyingi wakitoa loan break down huwa hawaoneshi hizo asilimia.Wao huonesha kiasi ulichopata kwenye ada,meals and accommodation,field work,books and stationers na special faculty requirements if any

Sasa wewe utaangalia umepata ngapi wapi ,ila mara nyingi wanafunzi wengi hupewa meals and accommodation 8500 kwa siku ila ada ndio unaeza pewa kidogo ,au nusu kulingana na sifa zako

Kwa hiyo unaeza pata mkopo chini ya asilimia mia na boom ukapata vizuri tu

Sema nini..Kama umesoma private zote kuanzia huko chini,hata kama unaenda soma Medicine,subiri balaa
 
Back
Top Bottom