Berther patty
Member
- Jul 27, 2018
- 34
- 4
jaman msaada mimi nahitaji kuomba verification award lakin sijajua natakiwa mda gan kufanya malipo take elf 10 kabla y kutuma maomb yang au wakishanijibu..msaada jaman
Ingia kwenye portal yao ya Award verification Number pale weka vitu vyote vinavyotakiwa kisha system yenyewe itakutaka ulipie hiyo 10,000/- mara hatua ya malipo itakapofikajaman msaada mimi nahitaji kuomba verification award lakin sijajua natakiwa mda gan kufanya malipo take elf 10 kabla y kutuma maomb yang au wakishanijibu..msaada jaman
Mimi nilishasubmit nimepewa masaa ya kusubir lkn cjlpia bado..nifanyajeIngia kwenye portal yao ya Award verification Number pale weka vitu vyote vinavyotakiwa kisha system yenyewe itakutaka ulipie hiyo 10,000/- mara hatua ya malipo itakapofika
Kaka ramadhan hayo nishafanya mpaka nimesubmit lakin sijajua malipo natakiwa nifanye baada ya kujibiwa au kabla ya Mimi kutuma taarifaIngia kwenye Tovuti ya www.nacte.go.tz
(ii) Fungua/Click NAVS kisha jisajiri na uendelee na maelekezo yap kadri wanavyotaka
Kaka ramadhan hayo nishafanya mpaka nimesubmit lakin sijajua malipo natakiwa nifanye baada ya kujibiwa au kabla ya Mimi kutuma taarifa