Mwoneni mtoto huyu anaetokwa na damu mwili mzima

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,737
405
Mtoto huyo ambae yupo nchini India, Twinkle Dwivedi, mwenye umri wa miaka 14,hutoka damu hiyo kwenye ngozi bila hata kukatwa.Mtoto huyu anatoa damu machoni,puani,shingoni,na kwenye ngozi amewaacha madaktari wasijue lakufanya
Twinkle Dwivedi, ameongezewa damu mara kadhaa baada ya kutoka damu mara 50 kila siku.Mtoto huyo anasema damu inapotoka haiumi ila anakuwa anachoka sana na kichwa kuuma sana….soma zaidi hapa ....http://www.dailymail.co.uk/news/wor...l-cries-blood-bleeds-pores.html#ixzz0cV7871yR
 
aingizwe kwenye kitabu cha guiness cha maajabu ya dunia kwani sio jambo la kawaida....linasikitisha na linatisha.............
 
KWA India usishangae blaza mwaka jana kuna mwingine yeye akilia anto machozi ya damu. Uenda kunalishe/madini fulani wanayakosa ningewahauri wamlete eneo lingine kama mkoa mwingine ata BONGO ikiwezekana.
 
Katika dunia ya sasa maajabu hayatakwisha. Nashindwa kuelewa asipoongezewa damu ndo nitolee au?
 
This is not miracle it can be explained scientifically .This condition can be caused by lack of blood coagurant in the blood circulation

.Mfano kuna baadhi ya nyoka sumu yao ikiingia mwilini ina inhibit or it blocks completely function of blood coagulation in the system matokeo yake unaanza kutokwa damu sehemu kama machoni masikioni kwenye makovu puani nk and in most cases death will follow
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom