Mwonekano wao ukoje katika Jamii

Mkuu unacho! Wanatamani wawe wahindi
:doh:Weeeeeeeeeeee hii sura yakuwa na wowo??uogopi kuniuliza hivi??nikimbizwa na polisi nitakimbiaje??maana mimi sikuzote wabaya wangu polisi!!!:smile-big:
Ila kuna baa moja nilitembelea hapo kimara mwisho!!kuna baa ya ghorofa wanauza supu ila kuna Mshua mmoja ankibinda acha!!:doh:
 
mwanaume unatakiwa kuwa na **** la kuvalia suruali, co uwe pasi suruali hazikai ,kuchomekea mwiko du inakaa vp hii, ila kikizidi nacho balaa mzee
 
<font face="Comic Sans MS"><font size="4"><font color="purple">kuna mmoja namjua....weee acha tu.</font></font></font>
Yukoje??ukikuta anaoga bafu ya magunia na kakupa mgongo unaweza kuzubaa unakula chabo!!
 
Preta, sinasikia mnasema ati zile muscles ni mali ati anasukuma mpaka unajisikia uko dunia nyingine ...........au ni uongo :smile:

:nono:......mwanaume kifua ndugu
mimi mdundiko na mwanaume awe tena mdundiko si tutakuwa mzigo wa fujo hapo kwa bed
 
Yukoje??ukikuta anaoga bafu ya magunia na kakupa mgongo unaweza kuzubaa unakula chabo!!

mimi huwa napenda niwaone wanavyotembea....huwa siamini kama ni dume.....lakini all n all ni uumbaji huo...hatuna pingamizi
 
Back
Top Bottom