tafazalini msihusishe mavazi yake na kusema ndivyo uislamu ,lazima mjue na kuelewa na kueleweshana kabla hamjatoa hukumu kati ya Uislamu na Muislamu hayo ni mambo mawili tofauti na yapo mbali mbali kabisa,
Sina haja ya kuona au kuhukumu nguo anazovaa,hilo ni lake labda tahadhari tu kama ameamua kuintatein uislamu basi Uislamu haumvishi mtu nguo za kubana au zenye upasu. Msije mkakosea mkasema uislamu ndio ulivyo,kila mtu atabeba mzigo wake. Dress code ya Rais mwananmke katika Tanzania kama ipo mimi siijui.