Mwonekano wa Rais Samia Suluhu likiongezwa hili utakuwa babu kubwa

tafazalini msihusishe mavazi yake na kusema ndivyo uislamu ,lazima mjue na kuelewa na kueleweshana kabla hamjatoa hukumu kati ya Uislamu na Muislamu hayo ni mambo mawili tofauti na yapo mbali mbali kabisa,
Sina haja ya kuona au kuhukumu nguo anazovaa,hilo ni lake labda tahadhari tu kama ameamua kuintatein uislamu basi Uislamu haumvishi mtu nguo za kubana au zenye upasu. Msije mkakosea mkasema uislamu ndio ulivyo,kila mtu atabeba mzigo wake. Dress code ya Rais mwananmke katika Tanzania kama ipo mimi siijui.
 
Yaan unataka avae ovyo????hlo kwa dini yake halitakiw
Kuna clip niliwahi kuisikia ya mh Rais wakati akiwa makamu wa Rais akieleza jinsi alivyopitia hatua mbalimbali mpaka kufika alipokuwa.

Moja ya Jambo ktk maongezi yake alilosema ni kuwa kabla ya kwenda kugombea jimbo la Makunduchi, Zanzibar kama mbunge wa jimbo uvaazi wake (dressing code) ulikuwa ni wa kizungu. Nakumbuka anatania kwenye ile clip kwamba ilikuwa ni masuruali, na manywele mpaka huko.

Anasema ni wananchi ndo walimshauri avae kiutamaduni (Kizanzibar hasa) nadhani mantiki ikiwa ni kumfanya akubalike kwenye ile jamii yake.

Na kweli kwa kuvaa vile anaonekana yuko vizuri sana.

Ushauri wangu ni nyongeza tu kwamba kama alivyoshauriwa huko nyuma, hata Sasa naona bado mantiki ipo kwamba, wakati anavaa kizungukizungu pia wakati huu itapendeza Sana. Hivyo basi dressing code ya mheshimiwa ikiwa versatile (mchanganyiko) itakuwa nzuri zaidi (Kwa maoni yangu).

Kwa wataalamu wa mwonekano(presentableness) tayari Rais naturally ni presentable, hivyo akiongeza mwonekano tofautitofauti wa uvaaji, siyo tu kwamba ataonekana anavutia bali ushawishi (influence) itaongezeka kwa makundi tofauti tofauti ya kijamii.
Vinginevyo nampongeza Rais wangu. She is quite composed and humane looking.

I can't wait to seeing my president, if this can happen, being versatile in dressing code.

Wasalaam.
 
Anajua kuvaa, hivyo hivyo anapendeza.
Avae ushungi na kipedo ama?
 
Attachments

  • VID-20210320-WA0029.mp4
    38.5 MB
Kadri siku zinavyoenda kuna watu wanapoteza hadhi na heshima waliyojijengea huko nyuma, kutokana na siku hizi nao kushiriki ktk kuchangia mambo ya ajabu tena kwa uchangiaji wao wa hovyo kabisa.
 
Rais ni mwanamke TENA NI MUISLAM HAPO NDO MBAYA ZAIDI.
poleni sanaaa .tanzania ya sasa ni ya SAMIA.
R.i.p magufuli.
 
Back
Top Bottom