Mwonekano, ofisi ya walimu iliyokamilika S/msingi Kisaula huko Ludewa

Hivi hawa waalimu si ndo walisimamia uchaguzi wa 2020???
Sasa wanamlaumu nani???
Watulie ivo ivo.
Tatizo waalimu wa tanzania wengi wao waoga na mbaya zaidi wanamchukia mmoja kati yao atakaye jitokeza kujenga hoja.
 
Hiyo ofisi mbona nzuri? Hivi mnaijua hii nchi vizuri wandugu! Kuna shule eg Limungu'unya, Kang'ambwa p/schools ukibahatka kuona ofisi zao hata kama wewe ni katili unweza ishia kuwa mcha Mungu.
 
tuthibitishie kwanza!

Walimu hao watatu wanatumia hiyo meza moja? Wanasimama? Bango linalotambulisha ofisi hiyo lipo wapi? Imejengwa na nani ofisi hiyo? Umesema imekamilika, hebu tuonyeshe taarifa ya mkuu wa shule/mkandarasi/serikali ya kijijj ya kukabidhi jingo hilo! Halafu tuendelee na mjadala baada ya hapo.
Alafu aliyepost ni mmoja wa walimu hao watatu ila, atakwambia siyo yeye ili kuogopa dhahama kwa nini wamepost😁!.
 
Hiyo ofisi mbona nzuri? Hivi mnaijua hii nchi vizuri wandugu! Kuna shule eg Limungu'unya, Kang'ambwa p/schools ukibahatka kuona ofisi zao hata kama wewe ni katili unweza ishia kuwa mcha Mungu.
UVCCM watabisha, ila huo ndio ukweli, na ukweli siku zote mchungu!
Kama mdau mmoja alivyosema wamethamini Sana dreamliner kuliko kuboresha kwanza huduma za kijamii!
 
Alafu aliyepost ni mmoja wa walimu hao watatu ila, atakwambia siyo yeye ili kuogopa dhahama kwa nini wamepost!.
Hapana, hata hao walimu hawahusiki ingawa watafurahi kuona Jambo lao linajadiliwa ili serikali iwatazame kwa jicho la huruma!
 
UVCCM watabisha, ila huo ndio ukweli, na ukweli siku zote mchungu!
Kama mdau mmoja alivyosema wamethamini Sana dreamliner kuliko kuboresha kwanza huduma za kijamii!
Huwa inaniuma Sana kukuta mwl Hana pa kukaa au mvua ikianza kunyesha vipindi vina ahirishwa lakini tunathubutu kulipa Tsh. Billion 521 kununua dreamliner moja kumbe jibu ni kwamba hayo majengo mabov au huduma mbov haziwahusu au hakuna pahala pa kukutana nazo hasa kwa hao wanao idhinisha hayo malipo
 
Bila kusahau kuwa wanajisahaulisha kuboresha mazingira ya walimu huku wakijua wote wamepitia mikononi mwa walimu ambao wamewalea toka chekechea mpaka vyuo vikuu, na kuwapa mwanga wa maisha walio nayo Leo!

Tuthamini walimu kwa mustakabari wa Taifa letu siku zijazo!
 
Back
Top Bottom