Mwonekano, ofisi ya walimu iliyokamilika S/msingi Kisaula huko Ludewa

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,049
4,904
Huu ndio mwonekano, ofisi ya walimu wa shule ya msingi Kisaula kijiji cha Mbongo kata ya Manda wilayani Ludewa mkoani Njombe inayotumiwa na walimu watatu kati ya wanne wa shule hiyo yenye wanafunzi 94 ikiwa na zana za kufundishia.
IMG_20210926_081451.jpg
 
tuthibitishie kwanza!

Walimu hao watatu wanatumia hiyo meza moja? Wanasimama? Bango linalotambulisha ofisi hiyo lipo wapi? Imejengwa na nani ofisi hiyo? Umesema imekamilika, hebu tuonyeshe taarifa ya mkuu wa shule/mkandarasi/serikali ya kijijj ya kukabidhi jingo hilo! Halafu tuendelee na mjadala baada ya hapo.
 
Jitume kwenye tozo ndg, usifikir imebumbwa hyo ndyo Hali halisi, na mbunge analijua hlo
 
Afrika "mtu mweusi" inasafari ndefu sana. Mungu atusaidie sana. Aturudishie fahamu na akili zetu wenyewe shetani alizozipora katika Jina la Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai..
 
Hizo tozo si zingetumika kutoa ajira zaidi za waalimu na majengo bora daah
 
Ndio maana tunahitaji tozo jamani, hali ni ngumu...tuchangie tozo kwa pamoja tafadhali🐒
 
Huu ndio mwonekano, ofisi ya walimu wa shule ya msingi Kisaula kijiji cha Mbongo kata ya Manda wilayani Ludewa mkoani Njombe inayotumiwa na walimu watatu kati ya wanne wa shule hiyo yenye wanafunzi 94 ikiwa na zana za kufundishia.
View attachment 1953321
Walimu wanadharauliwa Sana ,kwanza unakuta ofisi zao mbaya afu ziko kwenye jengo moja na madarasa
 
Huu ndio mwonekano, ofisi ya walimu wa shule ya msingi Kisaula kijiji cha Mbongo kata ya Manda wilayani Ludewa mkoani Njombe inayotumiwa na walimu watatu kati ya wanne wa shule hiyo yenye wanafunzi 94 ikiwa na zana za kufundishia.
View attachment 1953321
Kuna Diwani
Kuna Mbunge
Kuna DED
Kuna DC
Kuna RC
Wengi wao hapo wanatumia mashangingi
 
tuthibitishie kwanza!

Walimu hao watatu wanatumia hiyo meza moja? Wanasimama? Bango linalotambulisha ofisi hiyo lipo wapi? Imejengwa na nani ofisi hiyo? Umesema imekamilika, hebu tuonyeshe taarifa ya mkuu wa shule/mkandarasi/serikali ya kijijj ya kukabidhi jingo hilo! Halafu tuendelee na mjadala baada ya hapo.
Mtoa mada hakujua kuwa humu kuna Thinkers, vilaza na bora liende. Msamehe bure. Please wale mnaoleta mada zenu kama siyo kwenye udaku inabidi mzitafakari na kujua kuwa humu hata hao mnaowasema na kuwananga wamo. Be specific with concrete evidences.
 
Huu ndio mwonekano, ofisi ya walimu wa shule ya msingi Kisaula kijiji cha Mbongo kata ya Manda wilayani Ludewa mkoani Njombe inayotumiwa na walimu watatu kati ya wanne wa shule hiyo yenye wanafunzi 94 ikiwa na zana za kufundishia.
View attachment 1953321
CCM oyeeee, halafu mseme ualimu ni wito, muwakataze wasijiongezee kipato, na wasilime hata vibustani vyao nyumbani
 
Mtoa mada hakujua kuwa humu kuna Thinkers, vilaza na bora liende. Msamehe bure. Please wale mnaoleta mada zenu kama siyo kwenye udaku inabidi mzitafakari na kujua kuwa humu hata hao mnaowasema na kuwananga wamo. Be specific with concrete evidences.
Narudia Tena, lipia Tozo kwa ustawi wa nchi yko, ili kuwasaidia wanaofanya kazi katika mazingira magumu ya namna hii, kwani hili Ni geni kwa Tanzania hii??!
 
Back
Top Bottom