Mwonekano mzuri huvutia kuanzisha Mahusiano, Utu au Tabia nzuri ndio hudumisha mahusiano

Hii kwangu ina apply sana maana najijua. Hata nipewe mwanamke malaika na umbo zuri kiasi gani nikishambabua wiki moja tu naanza kumwona wa kawaida.
Sasa hapo unamwona wa kawaida labda hana mizinguo ya hapa na pale,akiwa na mizinguo haki nakwambia tena unaanza kumwona kama ng'ombe au mbuzi tu anakosa mvuto kabisaaa

Lakini kuwa wale wanawake au wanaume ambao labda hawana mwonekano mzuri sana au hawana mwonekano mzuri kabisa wakipata nafasi ya kuweza kuingia kweny Maisha yako,kamwe hutowahi kujutia kuwaruhusu wawe sehemu ya Maisha yako,inafikia mahali unaona kabisa Maisha bila wao hayana maana, huo ni uhalisia ambao wengi wetu hatutaki kuukubali kwa kutanguliza mwonekano Zaidi ya mambo mengine ya msingi.
 
Sisi wengine wakongwe kwenye game tunalewa haya mambo
 
Hehehehe huzijui stress ya kugongewa wewe tena yule dem pisi kinyama unaemkubali toka katika sakafu ya moyo! Tunaoa wakawaida kimkakati ili hata haya yakijitokeza ni rahisi to let go!
shetani huwa halali
JamiiForums1353651655.jpg
 
Oh! Kumbe kugongewa mke pisi kali inauma sana kuliko akiwa mke wa kawaida!? Mie nilidhani kugongewa mke inauma bila kujali kama ni pisi kali au la. Maumivu ni yale yale 😜😜
Hehehehe huzijui stress ya kugongewa wewe tena yule dem pisi kinyama unaemkubali toka katika sakafu ya moyo! Tunaoa wakawaida kimkakati ili hata haya yakijitokeza ni rahisi to let go!
 
Kweli muonekano wa nje huchangia kuanzisha mahusiano, for me muonekano wa nje hasa urefu wa mkaka aisee navutika japo kumsikiliza akiwa anaongea then from there ntaanza kumsoma tabia na vitu vingine vya ndani, sasa sijui nakosea wakuu🤔
 
Kuna kitu kimoja huwa najiuliza mpaka leo kwa kweli huwa nakosa jibu la uhakika.

Kwanini kizazi cha zamani huwa kinadumu sana kwenye Ndoa kulinganisha na kizazi hiki?
 
Kwahio we unavutika na urefu sio adabu ya mtu 😅 anayokuja nayo? Kweli kazi ipo
 
Sasa ndiyo unicheke?😀😏 Adabu ya mtu si muonekano wa nje ipo ndani ndiyo maana nikasema nnapomsikiliza ndiyo ntagundua tabia ikiwa ni hiyo adabu nk.
Hahahah ukimsikiliza tu umeisha maana hamna mwanaume anayekutaka atakwambia ambavyo maskio yako hayataki kusikia😛😛😛😝
 
hahahahahahahahahaha unakemea kiongozi,tako halitakupikia chakula kizuri,halitakulelea,halitakutengenezea hali ya Amani na utulivu nyumbani kwako,it take good personalities to make a home na sio big butts or what,the butts thing na baby faces are made for showoff basi so kama unaoa kwa ajili ya showoff then go for it,home panawaka moto ila ukitoka nje washakaji wakakusifia sifia kwa ajili ya mkeo unapooza mchungu Maisha yanaendelea
 
Kweli muonekano wa nje huchangia kuanzisha mahusiano, for me muonekano wa nje hasa urefu wa mkaka aisee navutika japo kumsikiliza akiwa anaongea then from there ntaanza kumsoma tabia na vitu vingine vya ndani, sasa sijui nakosea wakuu🤔
hapana financial services uko sawa kabisa ndo maana kama mada inavyotaja mwonekano una nafasi katika kukufanya uvutiwe na mtu wa jinsia tofauti na kukufanya utake kuingia kwenye mahusiano pamoja naye,lakini sasa mwonekano usikufanye ukapumbazika kiasi cha kutochunguza na yale mambo mengine ya msingi ambayo ndiyo yanadumisha uhusiano,mfano kwa mwanaume tabia kama kujali,uwajibikaji,kupenda kwa dhati n.k mwanaume hata awe na mwonekano kama malaika na six packs kama za Johncena akiwa hana hizo qualities ukiingia naye kwenye mahusiano,mahusiano hayo hayaweze kudumu kwani mwonekano hauna mchango wowote katika kuyaweka na kuyadumisha mahusiano.

ila sasa ndo ukijaaliwa ukapewa mtu mwenye mwonekano mzuri na utu na tabia nzuri hapo tunasema wewe uko gifted kwani,kwenye ishu kama hiyo hata mwonekano utaimarisha ndoa yenu zaidi,kwa sababu ukichanganya zile sifa zake nzuri kisha ukamwangalia mwonekano na unaona he or she is amazing yaano hapo unazidi kumpenda mara dufu na kutotamani kumpoteza na wala kugeuzia shingo pembeni.
 
Kuna kitu kimoja huwa najiuliza mpaka leo kwa kweli huwa nakosa jibu la uhakika.

Kwanini kizazi cha zamani huwa kinadumu sana kwenye Ndoa kulinganisha na kizazi hiki?
mambo mengi kiongozi

kwanza zamani wazazi ndo walikuwa wanapanga ndoa za vijana wao ,wanamtafutia binti mume au kijana mke kutokana na sifa na tabia za ukoo husika,wanahakikisha mahala ambapo mtoto wao anaenda kuoa au kuolewa ni mahala ambapo panaeleweka na ukoo unaojulikana kuwa na tabia na utu mzuri,so mtu anaedna kuoa au kuolewa akiwa angalau ana uhakika na tabia za ukoo anaoenda,japo haimaanishi ukoo ukiwa na historia ya familia nzuri basi kila katika huo ukoo yuko vizuri,japo kwa kiasi kibuwa hii inaweza kudetermine weza mke au mume wako anaweza akawa mtu mzuri,mfano naujua ukoo Fulani hivi mahali Fulani jamani wale watu asilimia kubwa ni wazuri mnooo,wanawake kwa wanaume,warefu rangi adimu,wana body morphology nzuri sana macho usiseme ila sasa wanaume huwa hawakai na wake kabisa wanyanyasaji wanawake wababe wakorofi misses know everything n,k

lakini pia watu wa zamani walikuwa na maadili ya hali ya juu,mtu mpaka anenda kuoa au kuolewa hajui mwanamke wala mwanaume kiasi kwamba akioa au akiolewa anatulia kabisa na mke mume wake kwa sababu hana mtu wa kumlinganisha so raha zote,uzoefu wote anaoupata kwenye ndoa yake ya kwanza huo ndo ulingo wake mzima wa mapenzi na anaridhika nao haona wa kufananisha

siku hizi sasa mpaka mtu akaoe au kuolewa kashatoka kwenye realtionships kama kuanzia tano hivi kuendelea,anakuja kupata mtu wa kutulia naye akimlinganisha na wale wooooote aliopita naye anaona kabisa kuna vitu anamiss na ndoa inaanza kuwa ngumu na kumshawishi mtu kutafuta kitulizo huko nje kucompasate mapungufu ya mume au mke aliyenaye sasa

kwa mtizamo wangu
 
Japo sio zote kwa asilimia kubwa.... nakazia
kiongozi inategemea na mtu uliyempata

amini nakwambia kuna watu wakiweza kuingia kwenye Maisha yako neon kukinai litakuwa ni msamiati kwako,yaani uanatamani utumie muda pamoja nao kila unapopata nafasi hiyo na usingependa kupoteza nafasi ya kutumia muda pamoja nao

japo simaanishi mtu anapaswa kupuuza mwanamke wake au mwanaume wake anaonekanaje,ndo maana nimesema mwonekano unasaidia kukuvuta na kukushwishi kuingia kwenye mahusiano na mtu wa jinsia tofauti

point yangu kuu ni kwamba mwonekano wa mtu usikufanye upuuze mambo ya msingi yanayoutunza uhusiano,kwa sababu mwonekano huvutia kuanzisha mahusiano,lakini tabia na utu wa mtu ndo utakaoamua kama uhusiano utadumu au lah,utakuwa mahala pazuri pa kufurahia au kuzimu,utakuwa mahala salama penu nyote na pa kupatia utulivu kwenye ulimwengu huu wenye fujo nyingi au mahala mabapo itafikia mahali unaona kazini ni bora sana kuliko nyumbani alipo mtu mnayehusiana,na sura na maumbo yenu mazuri.
 
Sina tatizo na mwonekano ikiwa ni wa asili, uumbaji (sura, kimo etc).

Lakini mwonekano kwa maana ya kujiweka [kujipenda, usafi] ni muhimu sana.

Eti mke mchafu japo mkarimu nitawezana? NO!
 
Back
Top Bottom