Mwonekano Mpya wa Ubungo flyover baada ya kubadilishwa design ya mwanzo

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,107
18,323
Hii ndio design mpya ya flyover ya ubungo.

Chini kabisa.. magari yote yanayo badilisha njia.

Daraja la kwanza.. mavari yote yanayo toka kimara kwenda mjini pamoja na mwendokasi.

Daraja la pili la juj kabisa: magari yote yanayo toka mwenge kwenda buguruni pamoja na mwendokasi.


Flyover zote zina njia 6 .. mbili magari ya kawaida kila upande na njia moja kila upande kwa ajili ya mwendo kasi.

 
Hii video ulipoiweka ndo panaitwa youtube hapo eeeh? ndo pale wanaposema kutizama video ni mpaka uwe na bando??

Harafu eti tukitizama sisi wewe unapata hela???
Picha hizi hapa
Screenshot_20190612-213950.jpeg
Screenshot_20190612-213958.jpeg
Screenshot_20190612-213923.jpeg
Screenshot_20190612-213943.jpeg
 
Hii miradi mizuri kwa macho na kiasi flan inapendezesha mji lakini sioni ikipunguza foleni!
 
Hawa taalama wanaoandaa hizi video wajaribu kuweka uhalisia (existing reality). Ubungo gani iko katika pori hivyo? Wanataka kusema watavunja hizo nyumba zote ikiwemo Songas wapande miti?
 
Hawa taalama wanaoandaa hizi video wajaribu kuweka uhalisia (existing reality). Ubungo gani iko katika pori hivyo? Wanataka kusema watavunja hizo nyumba zote ikiwemo Songas wapande miti?
Angalie vizuri majengo yote yameonyeshwa..
 
Kwani ubungo kutakua na majengo machache hayo? au uhalisia wa huo mchoro uko wapi? Upuuzi ni mwingi.sana hapo; 3D inatakiwa ioneashe vitu vyote vitakazobaki baada ya mradi mita 400 inclusive
 
Back
Top Bottom