Mwnasheria mkuu wa serikali kasoma wapi?,kuna mtz bado ataipa kual ccm 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwnasheria mkuu wa serikali kasoma wapi?,kuna mtz bado ataipa kual ccm 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RUV ACTVIST., Feb 2, 2012.

 1. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Sitaki kuamini kama kuna mtz bado anaweza kuwa na imani na serikali, sitaki kuamini kama mtumishi wa serikali anaweza kuendelea kuwa na imani na watendaji wa serikali hii, sitaki kuamini kama mwanasheria mkuu wa serikali alisoma sheria,hivi kama serikali yako inakunyima nafasi ya kujielimisha kwa kukunyima mkopo bado utaipenda, kama inamnyima nafasi mtoto wako aliyesoma shule ya kata kule songea vijijini eti kwa sababu ana daraja la tatu bila kujari huyo aliyepata daraja la kwanza kasoma katk mazingira gani bado utaipenda? WATU WANAKUFA SERIKALI IPO KIMYA TU, KIKWETE ANAENDA KUFUNGUA BANK, UTAENDELEA KUIPA KULA CCM 2015? NANI BASI ATAIPA KULA?
   
 2. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  itafika wakati hawa ccm kila mgombea atakuwa anapata kura yake pengine hata mke/mme wake atamnyima!
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu unanikumbusha kuna mwaka Cheyo Mapesa alichakachuliwa kwenye kura za Urais akakosa kura hata moja kwenye kituo ambacho familia yake ilipiga kura?
   
 4. m

  mtolewa Senior Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ulishasikia wapi mkurya akawa jaji? mkurya anaitwa fredrick?huyu alifoji vyeti tu manake hata anayavyoengea huwezi kuamini kama alisoma sheria
   
Loading...