Mwl Nyerere angefufuka leo angeingia chama gani?

kichangaa

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
689
130
Mwalimu nyerere ni mmoja wa waasisi wa ccm.nimekuwa nikitafakari angefufuka leo angeingia chama gani cha siasa?
 
Ukisikiliza vizuri hotuba zake, binafsi naona ASINGEJIUNGA NA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA! CCM NDO ANGEIKATAA KABISA!
 
Nyerere ndo nani? kilasiku Nyere Nyerere, yeye ni nani? ungesema Bibi Titi, Kambona au Kawawa ningekuelewa, nikikumbuja kipindi cha uhujumu uchumi, kufulia majani ya mapapai nguo za shule, unakamatwa kwakukutwa na chumvi nusukilo,rexna,kujipaka oil,
 
kujipaka oil inayotoka kwenye gari la mochwali BUGANDO delevawake alikuwa mjaruo watu wa PASIANSI MWANZA mnamkumbuka mjaruo huyu alikuwaanapita mtaani akisema aio niyakumelemeta alikuwaakipaki gari lilipo kanisa la PEFA kwasasa karibu na Bintimashoka
 
Back
Top Bottom