Mwl Nyerere akiwa kwenye foleni ya kupiga kura enzi hizo.....

wewe utalalamikia matatizo siku zote hadi lini,kila mtu ana mazuri yake namabaya yake,therewill never be a perfect man under the sun.
Yote aliyoyafanya yalikuwa ni kwa faida ya taifa wala si faida yake .kumbuka amechukua hii nchi ikiwa haina pesa hata kidogo yaani ilikuwa ni masikini ya kutupwa ,ujinga ndio usiseme maaana kulikuwa na wasomi wachache sana.
Mlitaka afanye nini? hivi wa-tz tuna nini tunachofurahiaga? maana hata sasa hata maraisi waliomfuata pia wote ni wabaya kila mtu anayakesembuse na Nyerere?
Mfumo wa ujamaa uli-fail kwa maambo mengi nchini kwetu ongawa kunafaida kibao sana ambazo tunazo za kidugu ambazo huwezi kuzipata sehemu yeyote Africa,lakini mbona kuna matatifa mengine yanaendelea kufuata Ujamaa mfano China na wanaendelea ku bila tatizo?
Anything has positive and negative.
Nyerere sio siri alikuwa na utu kweli na aliipenda sana nchi yake sio mchezo.
Natumaini umeisoma hotuba yake ya kwanza alipokuwa PM 1961 Natumaini utajua hii nchi ilikuwa wapi.:bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl:
Honestly - Mwl Nyerere has never been my inspirational!

Ninaamini na naendelea kuamini kuwa Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo yoooooooooote tuliyo nayo leo!

Vijiji vya Ujamaa:: Azimio la Arusha :: Muungano na Zanzibar :: Sera ya Ujamaa na Kujitegemea :: E.t.c yote haya was a total failure!
 
Hapo kwenye red = NO.
JK = impostor (pretender) wa hicho hapo kwenye red

Jakaya sio mtu wa watu ila kama ulivyoandika ni mnafiki!! Kiongozi ambae anawapenda anaowaongoza hawezi kushiriki kuwaibia rasilimali zao!!
 
Back
Top Bottom