Mwkt UVCCM atangaza kumvaa Mbowe

aminangalo

JF-Expert Member
Aug 31, 2013
974
189
Martin Munisi mwenyekiti UVCCM Arusha ametangaza kumvaa Mbowe jimbo la Hai nipo mkutano hapa Arusha
 
ha ha ha huyu anapima upepo kwa kutumia pua. Kwani jombo limetangazwa lini kuwa liko tupu? Utangoja sana.na!ukifika wakati utakuwa msindikizaji.!!
 
Pale hata munisi hana haja ya kutumia nguvu kubwa. Wananchi wameshaujua ulaghai wa mbowe. Na hakuna alichokifanya cha maana jimboni kwake toka apewe ridhaa.

Mbowe anakubalika, Mbona alishachaguliwa mara mbili?
 
Martin Munisi mwenyekiti UVCCM Arusha ametangaza kumvaa Mbowe jimbo la Hai nipo mkutano hapa Arusha

Huyu dogo jinga sana. hana ubavu wa kwenda Hai. kama anataka kuaibishwa kwenye sanduku la kura aende
 
baada ya kusikia habari hii na hatimaye kuisoma hapa , NIMECHEKA almanusura kuchana mbavu , unajua bhana lazima uzifahamu mbinu nyepesi zitazokuwezesha kutafuna hela ya ccm , huyu kijana naye anataka kutafuna hela yao kidogo .
 
Kwa Kamanda wa Anga Mbowe, hata kama angefufuka Nyerere akompete nae, hawezi na atapigwa chini tuu! Kamanda wa ukweli yule. Peopeleeeee
 
[=Ben Saanane;8085713]Labda kama atamvaa kwa kuwa wakala wa kuhesabu kura!]


Patamu hapo ben hebu fafanua atakuwaje wakala wa kuhesabu kura? teh teh te te !
 
Back
Top Bottom